Sasa unahoji uwezo wangu wa kuelewa ninachokisoma na kukijibu au siyo?Ebu jaribu pitia tena nini amekiandika kwanza mkuu
Ninapoamua kujibu andiko hapa jukwaani, ujue nimekwishalielewa ipasavyo.
Hili unalong'ang'ania hapa ni kwamba huyo mleta mada anamaslahi katika mambo anayomlaumu juu yake Makamu wa Rais.
Tumejadili kwa kiungwana hadi hapa tulipofikia, lakini sitegemei uhoji uelewa wangu tena juu ya ninayoyaeleza.