Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria.
Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia ubadhirifu siyo ujasusi wa kuripoti namna watu walivyofanya ubadhirifu. Kuripo ubadhirifu huku ukijua kabisa hatua atakazochukua mwanasiasa tunayemtumikia ni kuelekeza mtumishi asimamishwe kazi nikutumia rasimali ujasusi vibaya. It's like kazi ya majasusi WETU nikusaidia utumbuaji jambo ambalo linagharama kubwa Kwa serikali kwani mtumbuliwa anaendelea kulipwa na Kwa sababu wapigaji wapo smart hata uchunguzi ukifanyika hakuna ushahidi unaopatikana na mwisho wa siku aliyetumbuliwa anarejeshwa ofisni au anashtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.
Kila siku tunaona viongozi wa kisiasa wakisoma tips flan walizoficha mfuko ni na kutumbua, huyo anayeweza kupeleka vimemo anashindwa nini kuzuia huo uhalifu usifanyike? Kwanini tuwe na majasusi wanaojipendekeza Kwa viongozi wakuu wa nchi? Wanalipwa kuwa chawa wa viongozi au wanalipwa kulinda rasilimali zetu? Kwanini Waziri mkuu anapobaini ubadhirifu asiwatumbue na mashushu Ili nao wajielimishe na wawe sehemu ya kusimamia uadilifu?
Mimi siyo mtaalamu wa usalama ila ningependa kuona maafisa usalama wakishirikiana na watendaji wa umma kuondoa ubadhirifu hasa pale TU wanapobaini upo mchezo mchafu unapangwa. Wakiwa proactive Kwenye uhalifu hakuna mtu atatumbuliwa baada ya Waziri mkuu kufika Kwenye Mkoa au RAIS au Waziri, utumbuaji ulitakiwa ufanyike na mamlaka ya nidhamu pale TU taarifa za Siri zinapopokelewa bila kusubiri mpango wa kuiba kukamilika.
Let assume wazir mkuu au RAIS ajaenda Kwenye mikoa means majasusi watakaa na taarifa huku wananchi wanateseka? Fanyeni kazi Kwa uadilifu lakini pia PM au President au Waziri akifika Kwenye halmashauri akakuta ubadhirifu atumbue pia walioshindwa kuintercept wizi usitokee Ili nao wasaidie kuijenga nchi kuliko kuwaaminisha kwamba wao ni exception. Majasusi wa TAKUKURU NA WENGINE wakitekeleza wajibu wao CAG hatapinguza hoja na kutumbuana arharani kutakoma.
Tanzania pekee ndiyo nchi kiongozi anaamini asipotumbua atakuwa ajafanya KAZI; nchi nyingine mbona huu utaratibu walishaachana nao miaka mingi?