Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Yah tunapata me nilimpata mmoja anafanya kazi mizani najilaumu Sana alikuja kunifumania akaniblock mpaka kesho........kama ataiona hii comment siku yoyote nikiwa hai au nimekufa namuomba anisamehe Sana..
 
SINA HAKIKA SANA KAMA HUMU KUNA PISI MAY BE WAJE WAN PROVE WRONG 1 DAY YES, NILIZINGUANA SIKU MOJA NA ID YA EVELYN SALT KATIKA KUJIBISHANA NIKASTUKA NYUMA YA KEY BOARD NI NDUME, ZILE PRANK ZA KIBABE MIKWARA NA AINA YA REPRESENTATION. CHIMBO LA UHAKIKA NI TIKTOK HUKO ASILIMIA BUKU NA USHAIDI UNAVUTA PISI YA KWENDRAAAA BILA SHIDA KABISA UKIWA MJANJA NA UKABARIKIWA CHAP TU HUMU MATAIZI MPAKA UNAOGOPA UNAHIS WOTE NI WANAUME NA MA MAMA WENYE FAMILIA TEYARI, ILA SIJUI SANA

fullstop kwishaa
 
Yah tunapata me nilimpata mmoja anafanya kazi mizani najilaumu Sana alikuja kunifumania akaniblock mpaka kesho........kama ataiona hii comment siku yoyote nikiwa hai au nimekufa namuomba anisamehe Sana..
Pole mkuu, Kwan kubadili kamboga siku Moja Moja akamaindi

Fullstop, kwishaaa
 
Yah ofcoz hata mahusiano yetu yalikua ya malengo zaidi na tulifikia hatua nzuri lakin haikuwa ridhiki....
Nilifanya mengi Kwa nafasi yangu lakini usaliti hakuvumilia
Ni kweli mkuu, ukiona pisi imekuelewa wazimie taa wengine kwanza upime upepo, shida hao viumbe daah ngoja ninyamaze inasikitisha sana UNAWEZA jisemea hapa nmepata mke nitulie ukaja kushtuka yaliyoko nyuma ya pazia, maumivu yake si wanaume tunateseka sana na mapenzi sababu tunawaza VINGI familia ya kwenu, we mwenyewe, na familia ijayo all way up unafuta chozi life goes on,


Fullstop, kwishaaa
 
TANGU NIINGIE DUNIANI SIJAWAHI KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMKE ILE PIKA PAKUA SIJUI, JAPO NAKILI NISHA WALALA ILA IDADI KIASI CHAKE TU NAWEZA HATA WAHESABU, WENGI WALE STREET SELLERS HATA HAWANI JUI YOU PAY YOU *** YOU DISSAPEAR, THATS WHY AM FATHERLESS TILL NOW AGE GOES NIKISETTLE I WILL RAISE MY HANDS TO MY FATHER ALLAH SW TO BEG FOR THE DOGO WRIGHT THAT TIME. NASUKURU MUNGU ALINI KOMBOA SIKU CHAPA SANA MALAYA NIKA JIKALIE PEMBENI KWA MATUKIO NILIO YASHUHUDIA KWA WASHKAJI ZANGU, TUNAISHIA KUTONGOZANA TU SIJUAGI HATA KINACHO FATA, NAJIKUTA NIKO PEKEE YANGU TU, KIBAYA ZAIDI HUA SIPENDI KUA KERO KWA MTU UKIONA VIPI UNAJIONGEZA MKUU, ALUTA CONTINUA


fullstop, kwishaaaa
 
Aah kumbe unachagua basi utasubiri sana
Hamna mkuu mikwara tu madoido, we mkazie kama ume MUELEWA, kipindi bado mtoto Kuna demu mwarabu nilikua namuelewa nilimsotea anani chunia kinoma, BAADAE aliolewa miaka NENDE tunakutana , kipindi KILE alikua mwembaba nakutana NAE kajaa trako hiloo mtoto mkali kupiga stori akani sanua ndoa Isha vunjika sahivi hataki ndoa anataka tu mpenzi na nafasi YANGU ipo, sa mi mwenyewe SITAKI demu MIPANGO YANGU isiyumbe kwanza ndo hivoo sijui hata yuko wapi Leo hii, usikate tamaa ka unmpenda kweli

Fullstop, kwishaaa
 
Back
Top Bottom