Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,659
- 3,947
Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ?
Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
Wenye bahati wanapata na wanalinda taarifa zao.Mbona hamjawahi kuleta mrejesho ?
Mkipata wenza jaman, mrudi kuleta feedback na wengine wahamasike
🤣🤣 ngoja nifanye namna naona jimbo liko waziMimi nikipata siku nitarudi niwape na kadi za mualiko kabisa
Hongera yakoMimi nimeshapata nitaleta mrejesho sio muda
Sitaki kama wewe🤣🤣 ngoja nifanye namna naona jimbo liko wazi
Asante subirini mirejesho tuu 🤣🤣🤣Hongera yako
OkSitaki kama wewe
Amen ikawe heri kwenuAsante subirini mirejesho tuu 🤣🤣🤣
Wengi wanakuwa wanataka kwa kupunguzia uzito hawana nia hiyoWanaoleta matangazo wengi ni changamsha genge Tu!
Hongereni jamaniBaba P tulipatana hukuhuku tuna miaka sita sasa na katoto ketu tukiishi kwa furaha na amani tele
Sijui nijitose! ephen_ eb toa go aheadMimi nikipata siku nitarudi niwape na kadi za mualiko kabisa
Amazing 😄Baba P tulipatana hukuhuku tuna miaka sita sasa na katoto ketu tukiishi kwa furaha na amani tele
Go ahead bhana! Nataka nile ubweche wa harusi.Sijui nijitose! ephen_ eb toa go ahead