Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Go ahead bhana! Nataka nile ubweche wa harusi.

Kwa mleta mada; Mbona watu tumepata wenza wa maisha na watoto juu ile kiukweli ukweli ila sasa mtu unajikuta huwezi kusema unaenjoy kimyakimya tu.😍

Kwa wenzangu tuliopata humu inakuwaje tunajikuta tupo tu kimya?
Umeona eeh?
Itakua kipindi kile unatuuzia magari nini 😁
una kumbukumbu nzuri
 
Attachments

  • IMG_5816.jpeg
    IMG_5816.jpeg
    46.7 KB · Views: 19
Mh! Mbona hatari hii binafsi sina matarajio ya kuonana wala kukulana na watu wa humu tutaishia tu kwenye key board basi
Sikia samahani kidogo hivi unajua Kuna inshu nilitaka nishirikiane na wewe sasa mbona hizo n taarifa mbaya kwangu, au utanifikiria, najua memba wa zamani, walikuwa na heshima zao ila jambo la kukutana na Mtu alafu unakuja kutangaza hum eti mara ana kasoro flan aisee walifeli sana hiyo IQ wanayo jivunia waliiitia doa

Fullstop, kwishaaaa
 
Ni jambo gani hilo ulitaka kushea na mimi bro alex?
 
Sioni kama ni busara kuongelea hapa, mana kabla ya jambo lenyewe NILITAK NIJUE, location, Marita status, na age yako if possible, mambo mbalimbali alaf nione kama itawezekan pliz

Fullstop kwishaaaaa
 
Haiwezekani hiyo mkuu
 
Haiwezekani hiyo mkuu
Wife material sina kumbukumbu ka usha way mtukan kiongozi wa kisiasa MPAK kua muoga hivi au you have your reason mfano mi UkINAMBIA chochote kuhusu my ID I will talk Kwani Ile picha ukiwa umevaa suruali ya kaki na kibode cheupe, na viatu fulani hivi kama jd ka sikosei Ile ni picha yako pliz

Kumbe umepagawa na ile picha, yule siyo mimi mkuu
 
Back
Top Bottom