mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,595
Kijana umekula chaga aisee.Heeeeh! Kumbe hata ww umepatia humu👋👋👋!
Kijana umekula chaga aisee.Heeeeh! Kumbe hata ww umepatia humu👋👋👋!
Mimi nimempata ila simuweki hadharani naogopa
View: https://youtu.be/LJONP5YAokU?si=d6iZCf7F67WrauIj
Yule kichwapanzi countrywide kashakimbia jimbo?Atakayepata wawili anipe mmoja 😹
Sio lazima utafute unaweza ukakutana tu na mtu humu ukashangaa mmeelewana.😅😅😅make kwanza nicheke watafutaji hawapo humu
🤣🤣 CountrywideYule kichwapanzi countrywide kashakimbia jimbo?
Ni kweli sikupingi kwenye hilo ila ni kumuomba Mungu akuongozw ukutane na mtu sahihiSio lazima utafute unaweza ukakutana tu na mtu humu ukashangaa mmeelewana.
SINA HAKIKA ILAAAAAAAAKumbe evelyn ni mwanaume
Bana weeh 😹Yule kichwapanzi countrywide kashakimbia jimbo?
KwambaKijana umekula chaga aisee.
Mimi mchaga hamia tu hukuBana weeh 😹
Nilijifunza mpk kichaga na mbege nikaanza kunywa imagine 🥹😥
Unajipigia assist 😹😹Mimi mchaga hamia tu huku
Ushapiga wangapi?Wenza sidhani...
Ila wa kupigana miti tunawapata wengi tu.
Itakua kipindi kile unatuuzia magari nini 😁Baba P tulipatana hukuhuku tuna miaka sita sasa na katoto ketu tukiishi kwa furaha na amani tele
RASMI mimi na Lamomy sio wapenzi tena😄Unajipigia assist 😹😹
Acha tumsubiri atoe talaka ya mwisho..!!
8Ushapiga wangapi?
Unafurahi mimi kuachika dah.!! 😥😹😹RASMI mimi na Lamomy sio wapenzi tena😄
Sio kwa ubaya ili na sisi tuchukue jimbo/koloni 😄Unafurahi mimi kuachika dah.!! 😥😹😹
Kweli Ma bro wa JF hamnipendi..!!