Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Ni kweli huwa mnapata wenza humu?

Wengi humu ni matapeli wa kimya kimya ndiyo maan mirejesho hairudi
Nitoemo kwenye hao mataprli, mi sio tapeli hi ili jina ni langu siriasi, na hata mkitaka sura YANGU taweka coz Idont fear anybody wife material pliz be serious wiz me pliz upo pande gan tz alaf, nipe ruhus nianze kuja pm that we can talk NIAMINI Mimi am differents.

Am Black and proud

Fullstop,kwishaaaa
 
KWENYE LIST NIMO AU SIMO? NIFANYE KUPITA HIVIII MAPEEMAA, NME MKUMBUKA KOTA WA DHAHABU KULE GEITA KAMSUPRISE PISI GARI KALI, WAKAMFUMBA MACHO, WAKAMUULIZA NI MPENZI GANI UNAHISI NDO KANUNUA HII GARI, DAH DEM KAKA KIMYA BAADAE KUFUNGUKA JINA YAANI NI MTU MWINGINE AMBAE HATA RAFIKI ZAKE BAADHI WALIKUA HAWAMJUI, JAMAA ALIUMIA SANA AKATAKA KUACHA NDINGA WEEEEE WAPAMBE, WAKAONA JAMAAA UNA MACHEZO WEWE SI BORA TUKAGAWE KWA WATOTO YATIMA

fullstop, kwishaaaa
😂😂😂😂😂
Kitu ambacho niko makini ni kwenye husiano, sipotezi kumbukumbu mie.
 
😂😂😂😂😂
Kitu ambacho niko makini ni kwenye husiano, sipotezi kumbukumbu mie.
Coc Niko serious na wewe ila mapenzi YANGU na wewe kama yatakuwepo basi itabidi tupeane walau miaka minne mbele ndo yaanze sio sasa ni uwongo ukisema umuingize mtu moyoni haraka hivi sikweli, miaka minne tosha kabisa kwa uaminifu, kuaminiana coc mi Niko tayari kukusubiri, mapenzi ya kweli Huwa ya hatua sio kukurupuka hivi kama watoto, big no

Fullstop, kwishaaaaaa
 
Una helaa?
 
Back
Top Bottom