Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,165
- 83,005
😀😃😃Go ahead bhana! Nataka nile ubweche wa harusi.
Kwa mleta mada; Mbona watu tumepata wenza wa maisha na watoto juu ile kiukweli ukweli ila sasa mtu unajikuta huwezi kusema unaenjoy kimyakimya tu.😍
Kwa wenzangu tuliopata humu inakuwaje tunajikuta tupo tu kimya?