Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,527
Mpaji Mungu nime kuita mara tatu 😂 😂Sijui nijitose! ephen_ eb toa go ahead
Mpaji Mungu nime kuita mara tatu 😂 😂Sijui nijitose! ephen_ eb toa go ahead
Dada yako nimependa kaka nikija nalia inabidi uwe upande wangu sasa....unisapoti kwenye furaha na huzuni 😀😀😀natoa angalizo mapema, ili usije nipigia simu una lia lia.
Nami ngoja nitafute, ila sio leo sio kesho wala majogoo😂😂Dada yako nimependa kaka nikija nalia inabidi uwe upande wangu sasa....unisapoti kwenye furaha na huzuni 😀😀😀
Humu ndani sikushauri kaka, labda itokee mkutane huko nje halafu kumbe wote mkawa watoto wa Melo, ila sio mkutane humu mkajuane nje huko.....Nami ngoja nitafute, ila sio leo sio kesho wala majogoo😂😂
wapo wenye akili, ipo siku nita kuambia kitu.Humu ndani sikushauri kaka, labda itokee mkutane huko nje halafu kumbe wote mkawa watoto wa Melo, ila sio mkutane humu mkajuane nje huko.....
Yaani ikitokea hata kwangu nichapwe vikobo kabisa kaka.....humu ndani narudia tena sio kwa kutafuta mwenza siriazi kabisaa labda kama unatafuta mtu wa kuyaanika maisha yako hapo sawa.
Hahahaaa friji langu linagandisha inategemea na ni nani inamhusu. kwako wewe unajua kabisa nitaapa kutunza siri mpaka mwisho wa JF😀😀wapo wenye akili, ipo siku nita kuambia kitu.
Sema fridge lako hali gandishi😝😂
Niwe Mimi basiSitaki kama wewe
wee wacha ubwege 😅Hahahaaa friji langu linagandisha inategemea na ni nani inamhusu. kwako wewe unajua kabisa nitaapa kutunza siri mpaka mwisho wa JF😀😀
KWENYE LIST NIMO AU SIMO? NIFANYE KUPITA HIVIII MAPEEMAA, NME MKUMBUKA KOTA WA DHAHABU KULE GEITA KAMSUPRISE PISI GARI KALI, WAKAMFUMBA MACHO, WAKAMUULIZA NI MPENZI GANI UNAHISI NDO KANUNUA HII GARI, DAH DEM KAKA KIMYA BAADAE KUFUNGUKA JINA YAANI NI MTU MWINGINE AMBAE HATA RAFIKI ZAKE BAADHI WALIKUA HAWAMJUI, JAMAA ALIUMIA SANA AKATAKA KUACHA NDINGA WEEEEE WAPAMBE, WAKAONA JAMAAA UNA MACHEZO WEWE SI BORA TUKAGAWE KWA WATOTO YATIMANitakuja kuleta mrejesho, wacha nishushe presha kwanza..
Au wee Fidodio unasemajeee? 😂😂😂😂😂
Nitakuja kuleta mrejesho, wacha nishushe presha kwanza..
Au wee Fidodio unasemajeee? 😂😂😂😂😂
Mimi suala la mapenzi/mahusiano nishalimaliza.Mpaji Mungu nime kuita mara tatu 😂 😂
Samahani SANA,nimeona nilitoe rohoni nisije jipatia ugonjwa wa moyo Bure, unajua nilikuwaga nataka nikutongoze ila Nika ogopa baada ya kuwa nasoma comments moyo ulisita Nika ona Nisha wahiwa, Kuna siku ulisema usha chumbiwa tayari, nikajisemea usikute we unaeza kuwa unaniheshimu kama kakaSawa
kubomoa mlango elfu76Atakayepata wawili anipe mmoja
Exactly ndoa haiwezi kuwa rahisi hivyo,eti natafuta mke mrefu mweusi mwenye Miaka 20 elimu form 4 aje PM🤓🤓🤓🤓🤓🤓Wengi wanakuwa wanataka kwa kupunguzia uzito hawana nia hiyo
😅😅😅make kwanza nicheke watafutaji hawapo humuExactly ndoa haiwezi kuwa rahisi hivyo,eti natafuta mke mrefu mweusi mwenye Miaka 20 elimu form 4 aje PM🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kumbe evelyn ni mwanaumeSINA HAKIKA SANA KAMA HUMU KUNA PISI MAY BE WAJE WAN PROVE WRONG 1 DAY YES, NILIZINGUANA SIKU MOJA NA ID YA EVELYN SALT KATIKA KUJIBISHANA NIKASTUKA NYUMA YA KEY BOARD NI NDUME, ZILE PRANK ZA KIBABE MIKWARA NA AINA YA REPRESENTATION. CHIMBO LA UHAKIKA NI TIKTOK HUKO ASILIMIA BUKU NA USHAIDI UNAVUTA PISI YA KWENDRAAAA BILA SHIDA KABISA UKIWA MJANJA NA UKABARIKIWA CHAP TU HUMU MATAIZI MPAKA UNAOGOPA UNAHIS WOTE NI WANAUME NA MA MAMA WENYE FAMILIA TEYARI, ILA SIJUI SANA
fullstop kwishaa