Mzungu ni rafiki wa kweli kwa mtu mweusi tofauti na watu wa mataifa mengine

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,392
Pamoja na makando kando yake, mzungu na atabaki kuwa rafiki wa kweli wa mtu mweusi ,hasa linapokuja swala la mahusiano ya mtu mmojammoja, we angalia watu wanaofanya kazi kwa wahindi, waarabi, wazungu wachina, utaona tofauti kwanzia kwenye mikataba na haki za haki za wafanyakazi

Wazungu hujali sana watanyakazi wao, nakumbuka kuna siku tulikuwa bar, kuna jamaaa alikuwa anaombaomba sana watu vinywaji, mzungu mmoja akaniuliza kwani huyu hafanyi kazi nikamjibu anafanya, akauliza tena so kwanini hana hela, nikamjibu sijui, akaniambia maliza kinywaji chako na twende polisi tukamshtaki boss wake, atakuwa anamzurumu huyu.
 
Pamoja na makando kando yake,mzungu na atabaki kuwa rafiki wa kweli wa mtu mweusi,hasa linapokuja swala la mahusiano ya mtu mmojammoja,we angalia watu wanaofanya kazi kwa wahindi,waarabi,wazungu wa china,utaona tofauti kwanzia kwenye mikataba na haki za haki za wafanyakazi,,wazungu hujali sana watanyakazi wao,nakumbuka kuna siku tulikuwa bar,kuna jamaaa alikuwa anaombaomba sana watu vinywaji,mzungu mmoja akaniuliza kwani huyu hafanyi kazi nikamjibu anafanya,akauliza tena so kwanini hana hela,nikamjibu sijui,akaniambia maliza kinywaji chako na twende polisi tukamshtaki boss wake,atakuwa anamzurumu huyu
Mzungu huyu alie ondoka simba au mzungu yupi?
 
Wazungu walishastaarabika mapema, hawa wengine sijui wachina, waarabu, bado labda karne zijazo.
 
Baada ya kudai haki zake za msingi. Waliostaarabika wakaamua Yao.
FB_IMG_16815939190435384.jpg
 
Ahsante kwa taarifa, nenda kwenye nchi zao, hakuna rangi hutaacha kuona...
 
Pamoja na makando kando yake, mzungu na atabaki kuwa rafiki wa kweli wa mtu mweusi ,hasa linapokuja swala la mahusiano ya mtu mmojammoja, we angalia watu wanaofanya kazi kwa wahindi, waarabi, wazungu wachina, utaona tofauti kwanzia kwenye mikataba na haki za haki za wafanyakazi

Wazungu hujali sana watanyakazi wao, nakumbuka kuna siku tulikuwa bar, kuna jamaaa alikuwa anaombaomba sana watu vinywaji, mzungu mmoja akaniuliza kwani huyu hafanyi kazi nikamjibu anafanya, akauliza tena so kwanini hana hela, nikamjibu sijui, akaniambia maliza kinywaji chako na twende polisi tukamshtaki boss wake, atakuwa anamzurumu huyu.
Kila jambo ni maandalizi mimi sitaki kuwaangalia weupe tuangaliane ss tunao juana tuaofanana ngozi nywele wengine wanakuwa wate na kusoma inakuwaje tunatoana roho?
 
Back
Top Bottom