Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

Mimi kusema kweli huwa nachukizwa na mwanamke asiyezingatia muda huo anaohitaji nafanya Nini labda hapo ndio tafrani.

Kama Ni Jobless au kazi zako hazina pressure na kuoccupy akili nyingi hapa huwezi kunielewa.

Umakuta mtu uko in the midly of dealing with something that needs much of your thoughts hasa kipindi hichi Cha work from home ghafla anatokea mtu huko anakwambia nataka game, kwa kweli tuache uongo Ni ngumu ku shut your thoughts na kuziturn ghafla kwenye Ngono hata uwe na nguvu gani.

Niwaambie ukweli tofauti ya zamani na Sasa iko hivi. Zamani mwanamke akikuhitaji anaku seduce mwenyewe TU utahamisha akili yote kwake automatically.
Wanawake wa hivi Sasa anakuja anakwambia tu nataka unitie huku ukiwa na Mawazo tele hembu niambie so utaishia kuchambwa tu hapo??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni visingizio nyie viumbe, tafuteni mlipokosea mrekebishe. Hili tatizo ni kubwa. Huwa mnajifanya mna nguvu sanaaaa hata wanawake 10 mnawamudu. Kumbe huwa ni kelele tu!!!! Kazi ikiwashinda visingizio rundooo, sio nyie huwa mnasema hamchagui chimbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtafute wewe maana wewe ndio unashida sana lau usinge simamia hivi hii mada
Huu muda unaotumia kuniquote ungeutumia kulala maana nayo huongeza nguvu hasa kwa kazi ya asubuhi,

Najua inawauma kuzidiwa nguvu na wanawake ila ndo hivyo mmeyataka wenyewe, na sasaiv tutaivuka Hadi 50 iwe 80 kabisa
 
Ni ngumu sana kushauri upande mmoja.
Inawezekana zamani aliridhika raund 2 kwa sabb mume alikuwa anapiga show za ukweli.
Sasa zimepungua level.
Mfano gari itembee speed 80 kwa 200km
Alafu sasa itembee speed 40 kwa zilizile 200km
Ni wazi kua safari itakuwa ni ya uchovu na inayo bore.
So mwanaume inawezekana anapiga mbili lkn sio kama zamani.
Hapo ajitahidi afike tatu ili mwanamke asijetoka nje..la sivyo afanye bidii kurudi kwenye viwango vyake vya zamani.
Mwanamke kama anakunika fresh hutaskia malalamiko.

Binafsi napiga round moja tu na wife.
Round huchukua saa zima na dakika chache nipo kifuani,mpka kufikia mshindo wa kwanza.
Sijawahi daiwa round nyingine wala malalamiko.
Tukimalimiza wote tunagalagala huko..
Mara chache naweza rudia ya pili lkn kwa ku m pleas mwenzangu.
Nishushe masalia.

So mwambie mshikaji akumbuke ni wapi alipojikwaa aanzie hapo kurudi ktk viwango.
Bila hivyo itamgharimu kuvunjika wa uaminifu ktk ndoa.
Mmmmmmh PATURO lisaa halafu mara nyingine anadai Round Nyingine 😀 😀 😀😀 Chai ya Kiwango Cha lami.
 
Huu muda unaotumia kuniquote ungeutumia kulala maana nayo huongeza nguvu hasa kwa kazi ya asubuhi,

Najua inawauma kuzidiwa nguvu na wanawake ila ndo hivyo mmeyataka wenyewe, na sasaiv tutaivuka Hadi 50 iwe 80 kabisa
Usikariri kila usiku ni wa kulala.

Ila tuache utani hili la mwanamke kutokurishwa kingono na mume wake ndio itoshee kusema mwanamke amemzidi nguvu mwanaume ni kujidanganya kwa kiasi kikubwa.

Hili tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwenye mambo ya ngono ni pana na lenye marefu yake so usiwe mwepesi kuhukumu na kuhitimisha.


Inaonyesha wewe ni binti mdogo sana na ndio unachipukia na mengi ya mambo hujakutana nayo.

Kama una mahusiano mazuri na mama yako hebu jaribu kumdodosa kama mwanzo wake na baba yako bado upo mpaka leo.
 
🤣🤣🤣🤣 ajitahid aache kula chips na mayai🤣🤣🤣
 
mwanamke anaesema haridhiki mpaka mwanaume aende round 3 hajielewi. haelewi nini maana ya kuridhika.
na mwanaume asiejua kumridhisha mwanamke nae ni bumunda.

kuna mwanamke alikua bikra na nilimkojoza kwa ulimi na kidole. kwahio kwa wale mnaodhani penetration pekee ndo inamridhisha mwanamke mnahitaji elimu. mwanamke anaweza akakojoa ndani ya dakika 10 tu chap kwa haraka.
 
Huu muda unaotumia kuniquote ungeutumia kulala maana nayo huongeza nguvu hasa kwa kazi ya asubuhi,

Najua inawauma kuzidiwa nguvu na wanawake ila ndo hivyo mmeyataka wenyewe, na sasaiv tutaivuka Hadi 50 iwe 80 kabisa
Kapeace punguza maneno makali mpenzi
 
Mmmmmmh PATURO lisaa halafu mara nyingine anadai Round Nyingine 😀 😀 😀😀 Chai ya Kiwango Cha lami.
Sasa nyie watoto nyoronyoro + punyeto unaishia kigoli hafifu lazima uone chai nakushauri nunua mkate ushushie kabisa.
(Kama kuna wenye upungufu wa nguvu za kiume basi wapo wenye uwezo wa hizo nguvu.)
Kama wengine wanaenda dakika mbili wengne tunaenda dakika 60, km uji tu.

(Soma vizuri sijasema anadai)
 
Ana uhakika huyo Mwanamke hajawahi kusagana au kutumia dildo?

Au jamaa naye ana tatizo.
mkuu kwa mujibu wake yupo fit, kinachompa wakati mgum mbona mwanzo hakua hivo? pia anadai watu wakiwa ktk ndoa hupungua kuhitajiana kingono kulingana na mambo mengi so iweje kwake ndo iwe zaidi
 
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Wanaume wakileo dhaifu sana....
 
You sound insecure. Na una bahati ya kukutana na situation hizi za kimoko kwa 5sec.

Ke wanarole kubwa kwa kumuhamasisha mwanaume. Mnadanganyana kwenye magroup na page zinazoMDUNISHA mwanaume.

1. Kauli za shawishi za kike hana huyo mwanamke zaidi ya command.
2.Hajiweki kike huyo mwanamke,yaani usafi,mnyumbuliko wa mwili akitembea na mikao.
3.Hampi confidence mume.

Sex iko kwenye akili iliotulia.

Shetani anafanya kila jitihada kumdunisha mwanaume ili dunia isambaratike.
Hahahahaha full kujianika tu,, mi huwa natamani nitemee mtu mate kabisa yani Ni kuchafuana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Nadhani mwanamke hamwamini mumewe anafikiri anapitia kwa mwanamke mwingine. Ujue mwanamke anaweza kukojoa ukigusisha uume katika K. Hii ya trip tano au sita kabla ya kukojoa jua mwanamke hampendi mwanaume. Au mwanamke anaficha madhambi yake, haiwezekani trip mbili mwanamke anayempenda mumewe au boyfriend wake asikojoe, it’s impossible katika hali ya kawaida
 
haiwezekani trip mbili mwanamke anayempenda mumewe au boyfriend wake asikojoe, it’s impossible katika hali ya kawaida

inawezekana chief. ile chomeka chomoa chomeka chomoa inaweza istoshe kumfikisha mwanamke. ila kwa "come hither motion" ni guarantee asilimia [emoji817]
 
Afanye kila namna afikie hizo 3 vinginevyo ataanza kusaidiwa.
 
Natumai hamjambo wakuu

Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.

Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.

Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Mwambie rafiki ako ani pm namba ya mke wake ili nimsaidie asizalilike wanaume tupo tunaopiga mashine mpaka papuchi inakubali
 
Sasa nyie watoto nyoronyoro + punyeto unaishia kigoli hafifu lazima uone chai nakushauri nunua mkate ushushie kabisa.
(Kama kuna wenye upungufu wa nguvu za kiume basi wapo wenye uwezo wa hizo nguvu.)
Kama wengine wanaenda dakika mbili wengne tunaenda dakika 60, km uji tu.

(Soma vizuri sijasema anadai)
Chai ni hiyo ya kupiga lisaa lizima halafu demu anadai tena hapo ndio chai ila kwenda lisaa juu ya kiuno ni kawaida mkuu,wakati nikiwa kwenye umri wenu wa 20's-30's nilikuwa napiga si chini ya 45mins.

Demu umsugue lisaa halafu ukimaliza atake round nyingine basi huyo sio demu ni "JINI MAHABA".
 
Back
Top Bottom