sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 944
Huyu alikuwa anamuektia, ila ya sasa ndo sura halisiNatumai hamjambo wakuu
Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.
Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.
Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Mambo ni 3;
1.Ampe goli anazotaka,
2.Asimpe na akubali kugongewa
3.Piga chini