Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,115
- 71,364
Wewe itakua ndie mke wa huyo rafiki wa mleta mada .Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Na wewe ndo mume mdebwedo sio??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe itakua ndie mke wa huyo rafiki wa mleta mada .
Wanaume wanaogopa papuchi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unakuta zoba kama huyo anapiga debe mtandaoni kuoa wake wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazidi tu kuwa mafurushi.
Halafu hawa wenye upungufu wa nguvu za kiume kwa kujimwambafy sasa[emoji134][emoji134] utakuta wanataka kutembea na mtaa mzima.
Mimi mke wangu ni mwanamke sio wa jinsia ya kike. Na mwanamke anajua yeye ni wa zaidi ya ngonoNa wewe ndo mume mdebwedo sio??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume walishangaisha ,wanaume wa wanakula chips Mayai daily,nduvu zitoka wapi!?mbao moja hoi hajiwezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mwanaume akifanya kimoja tu hawezi kuendelea utasikia sijisikii poa or demu haridhishi kumbe anajifariji nguvu hakunaa
Kama utashindwa kuridhika kwa hilo moja shida iko kwaki na iko siku kumi itakua haikutoshiWanaume walishangaisha ,wanaume wa wanakula chips Mayai daily,nduvu zitoka wapi!?mbao moja hoi hajiwezi
Wapi wewe ndo walewale team mdebwedoMimi mke wangu ni mwanamke sio wa jinsia ya kike. Na mwanamke anajua yeye ni wa zaidi ya ngono
Hahahaha unatia aibu walahi,, kamoja tu!! Imekuwa roho hiyo?Kama utashindwa kuridhika kwa hilo moja shida iko kwaki na iko siku kumi itakua haikutoshi
Hiyo picha kwenye Avatar imefanana 100% na Hilo Jina. Kuna wakati sura inafanana na jina kabisa sijui kwanini. Yani ukiambiwa huyu anaitwa grace anafanania haswa na jina Hilo ila ukianza kufikiria vipi huyu Grace angeitwa Michelle unaona sura inagoma kabisa kufanana na Hilo Jina.Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Sema kweli!!! Asante KitunduHiyo picha kwenye Avatar imefanana 100% na Hilo Jina. Kuna wakati sura inafanana na jina kabisa sijui kwanini. Yani ukiambiwa huyu anaitwa grace anafanania haswa na jina Hilo ila ukianza kufikiria vipi huyu Grace angeitwa Michelle unaona sura inagoma kabisa kufanana na Hilo Jina.
Samahani lakini, umenivutia sana
Shida inaanza kwenu kwa sababu munawahi kuanza kufanya mapenzi na wanaume wengi kiasi inapotokea inakulazimu kuwa na mume mmoja ndipo shida huanzia
Huna nguvu huna tu braza, hata upewe bikira huna huna tu,,usitake kubadili uelekeo wa mada,,Shida inaanza kwenu kwa sababu munawahi kuanza kufanya mapenzi na wanaume wengi kiasi inapotokea inakulazimu kuwa na mume mmoja ndipo shida huanzia