Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wakuu

Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.

Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.

Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
 
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
 
mkuu ushauri wako ni muhimu kuliko ulichoandika
 
Ni ngumu sana kushauri upande mmoja.
Inawezekana zamani aliridhika raund 2 kwa sabb mume alikuwa anapiga show za ukweli.
Sasa zimepungua level.
Mfano gari itembee speed 80 kwa 200km
Alafu sasa itembee speed 40 kwa zilizile 200km
Ni wazi kua safari itakuwa ni ya uchovu na inayo bore.
So mwanaume inawezekana anapiga mbili lkn sio kama zamani.
Hapo ajitahidi afike tatu ili mwanamke asijetoka nje..la sivyo afanye bidii kurudi kwenye viwango vyake vya zamani.
Mwanamke kama anakunika fresh hutaskia malalamiko.

Binafsi napiga round moja tu na wife.
Round huchukua saa zima na dakika chache nipo kifuani,mpka kufikia mshindo wa kwanza.
Sijawahi daiwa round nyingine wala malalamiko.
Tukimalimiza wote tunagalagala huko..
Mara chache naweza rudia ya pili lkn kwa ku m pleas mwenzangu.
Nishushe masalia.

So mwambie mshikaji akumbuke ni wapi alipojikwaa aanzie hapo kurudi ktk viwango.
Bila hivyo itamgharimu kuvunjika wa uaminifu ktk ndoa.
 
Mwambie ivi Muumba wake alijitahidi amridhishe ila akashindwa na kurubuniwa kwa apple la 1000, yeye ni nani apingane na mandiko matakatifu.

Let me pass smoothly and silently
 
Wanawake wengine wakishaolewa huwa wanajiweka kihasarahasara ule mvuto aliokua nao mwanzo kabla ya ndoa had unampiga bao 5 unapotea kabisa,

Hapo jamaa Hana tatzo, tatzo lipo kwa mke wake hana kinachomfanya jamaa awe na hamasa nae kama mwanzo, labda jamaa angekua hasimamishi ndo ingekua tatzo lipo kwake
 
Amnunulie dildo za kila aina...afuate ushauri huu atashukuru
 
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Sijawahi kukuona ukiwa mkali hivi leo kulikoni? Ila nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom