hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,391
- 80,373
Hahaha k zenu ni second hand hvyo sugu k unyayo kwakua zimetumika ndo maana mnatulalamikia hamtosheki...unawezaje kutosheka misumali kibao ya nchi tofaut umepigwa.Eti ooh wanaume mdebwedo jitathimini ndo maana wanaume wengi wanawaingilia kinyume na maumbile ili kupata ahuen ya second hand kUnafikiri utanitia jazba kwa hizi shombo zako, fyaaaaaa
Haleluya haleluya mwanamume katushukia,, 👏👏👏👏👏pokea makofi tafadhali,, nimekupenda bure yani,, kama ulikuwemo kwenye akili yanguNimepitia Comment zote ni mwendo wa Visingizio tu hakuna hoja yoyote ya maana,tukubali tu wanaume kuwa asilimia kubwa tumebaki maneno mengi mdomoni,haya mzigo huo umelala hapo mtu anakimbilia kwa marafiki,marafiki nao wanakimbilia JF,Sasa JF ndiyo itakula huo mzigo?Hebu mshike rafiki yako mrudi kule msije mkakuta Houseboy keshaharibu mambo.
Teach me master.
punguza sauti bacWanaume wanaogopa papuchi siku hizi😂😂😂
Halafu unakuta zoba kama huyo anapiga debe mtandaoni kuoa wake wawili.
Tumia mbinu ya katerero, umpigishe bao kabla huja mwingilia,ili umpunguze makali,Natumai hamjambo wakuu
Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.
Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.
Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Itakua mkewe hakula ujana kwahiyo kaingia kwenye ndoa na moto wote[emoji3]Mwambie amfunge spidi gavana mke wake.
Kwa maelezo zaidi aulizie mbinu za kimedani zinazotumika shule za bweni za wasichana pekee za kuwatuliza munkari.
Ngono haihitaji kula sijui ‘Maugali’ au kubeba ‘Machuma’ eti ndio uweze kumridhisha mwanamke.Hannah huwa nasikitika sana nikisia kijana au mwanaume analia lia kisa hili jambo.
Mimi najua shida ni msosi, binafsi nakula ugari sana matunda namenya mwenyewe sinywi soda ,samaki nanunua nakaanga mwenyewe kwa kiwango cha tahadhari, nakunywa sana maji nafanya mazoezi mepesi, sivuti sigara sinywi pombe na huwa sinaga wanawake zaidi ya mmoja. Na mengine ya kiasili zaidi nafanya.
Hii hufanya niwe na nguvu hadi najishangaa .
Pambana na hali yako broNatumai hamjambo wakuu
Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.
Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.
Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Una uwezo wa kuwaridhisha? Au unaoa tuu umfungie huko ndani?
Hili ndio tatizo.