Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,034
- 38,505
Na vile mnavyojitapa huku kwenye majukwaa ukute uko na stress una aina hio ya mwana ume ila huna la kufanya. Huwa napenda kuwapa pole na kuwatieni moyo kwamba tupo hapa chini ya jua kwa mambo mengi na si ngono tuu.