Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

Natumai hamjambo wakuu

Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.

Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.

Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Amruhusu atoke nje...
 
Tatizo naona hapo ni kwa wote wawili.
wayazungumze na kujichunguza kipi kimeingia kati yao,
 
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Noeloa kama sio wewe vile! Salaleh!!
 
Wanajamvi msimponde Sana mtoa post ipo sampuli ya wanawake wa namna hio unapiga show Safi ya goli nyingi na anaridhika ila kesho Tena anahitaji hivyohivyo kifupi Kila siku yeye anahitaji ukishindana nae kazi hifanyi na afya pia itazorota
Na suluhu Ni kuja mtandaoni kwa machozi na kamasi kuwa mkeo anapenda sana nanilihiiii,, au ni kutafuta stamina uweze kummudu,,, ukishindwa mruhusu atafute mtu atakaemtosheleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazidi tu kuwa mafurushi.

Halafu hawa wenye upungufu wa nguvu za kiume kwa kujimwambafy sasa[emoji134][emoji134] utakuta wanataka kutembea na mtaa mzima.
 
Wanaume wanaogopa papuchi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unakuta zoba kama huyo anapiga debe mtandaoni kuoa wake wawili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke mashine
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
 
Nguvu Mmewekeza kuwashangilia akina Diamond mnakoswa hata wa kufanya Mazoezi,.

Tatizo ni lako usimsingizie jamaa ako, Kula vizuri,fanya Mazoezi Pata mda wa kupumzika, Mke awe Msafi mda wote hasa wa mgegedo,. Siyo wakati wa kupigwa miti mke ananuka jasho,kwapa au shombo, utaishia kupiga kimoja cha nyege tu
 
Pretence mwanzo wa mahusiano ndio sababu ya haya mambo. Unakuta mtu anajidai mlokole kumbe ni mbobezi basi mwenzake anajua huyu hawezi marathon ni wa mbio fupi.

Ubaya ni kuwa wakishakuw committed kwenye ndoa ndio rangi halisi zinajodhihirisha na hapo inakuwa kelele ndani ya nyumba.

Nashauri tusiwe wanafki wakati wa kuanza mahusiano ili kila mtu ajue kama anaweza kuendelea na aliempata au la.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazidi tu kuwa mafurushi.

Halafu hawa wenye upungufu wa nguvu za kiume kwa kujimwambafy sasa[emoji134][emoji134] utakuta wanataka kutembea na mtaa mzima.
Hahahahaha full kujianika tu,, mi huwa natamani nitemee mtu mate kabisa yani Ni kuchafuana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom