Ni heri nitoke jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni heri nitoke jf

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NOT ENOUGH, Feb 21, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimegundua JF hutakiwi uwe mkweli ila siku zote unatakiwa kusema uwongo na kuwa mnafiki. Mimi kama mdada nimekuwa mkweli sana katika mambo ya kijamii ambayo yanamuhusisha kila mtu. ila shida ambayo nimekuwa nikiipata uki post a genuine thread ambayo inahusisha maisha ya watu basi inakuwa ni kejeli, matusi, na kushambuliwa with every TOM, DICK and JERRY.

  I am tired and i better not contribute.

  Madada - Samahanini sana na endeleeni na ndoa zenu ila mkae mkijua wanaume zenu wana wasaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

  BYE - NOT ENOUGH AND WILL NEVER BE ENOUGH
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Rip
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,562
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  aaaah not enough vibaya hivyo,tatizo lako,story zako zilikuwa za kubadilika badilika,ikawafanya watu wasikuelewe na wasikuamini.hakuna asie mkosaji hujafukuzwa,j.f ni ya wote,inamkaribisha yoyote yule.
   
 4. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 5,572
  Likes Received: 2,148
  Trophy Points: 280
  NOT ENOUGH am sorry kama umekwazika na post yangu ya leo. I know t's the reason to quit, but I did that for your own good.
  We love you thus we do wat we do to keep you on rail as our fellow member. Just take a time and read your all posts, t's ril confusing. :decision::decision:
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Unaonesha uchanga wa mawazo katika kukabiliana na changamoto,sasa kama JF tu unaikimbia ambapo ni wachangiaji usiowajua wala kuonana nao,je huko unakoishi ukikumbana na criticisms kama hizi nako utafanyaje?Ni vema ukabaki tu na uendelee kutoa mchango wako na kujifunza toka kwa members wengine na kitu kama hakijakufurahisha unakipotezea tu na maisha yanaendelea..
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145  Nkwingwa hubembelezi..??
   
 7. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,030
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  No, komaa tu NE, hata iweje, kwani hujui maisha ni changamoto popote. Mtu ukiiona amekushambulia/tukana saaana una-skip post yake unaendela kujadiliana na wengine.
   
 8. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,770
  Likes Received: 915
  Trophy Points: 280
  Hivi ndivyo Ma-great tinkers walivyo khe lhe kheeeeeeeeeeee angalia hapa chini baadhi ya michango yako.


  kila lakheri.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Cyaaaaa!!!!!!:usa2:
   
 10. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,763
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  c ya we don't wanna be ya!!
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,240
  Likes Received: 14,481
  Trophy Points: 280
  rip
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,957
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  komaa nao bidada:rain:
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,110
  Likes Received: 32,696
  Trophy Points: 280
 14. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,463
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hahahaha naona watu wote hawaoni umuhimu wako hapa sijajua kwa nini ila naona kama unaongea pumba sana na unajisikia sana ndio maana watu hakuelewa inabidi uongee points na usijifanye kwamba unajuwa sana wakati umeingia humu ndani juzi na kujiona mwenyeji mjuzi wa kila kitu........

  Zaidi nakushauri usitoke tuendelee kuwa pamoja hapa na watu wameshindwa kukuelewa kwa sababu wewe ni kigeu geu!!
   
 15. D

  Derimto JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sikushauri uondoke simama na useme unavyojisikia na mwenye kutaka kujifunzu ajifunze na ambae hataki aache hakuna mtu analazimishwa kuchangia thread humu ndani watu wengine hutaniana, kuchumbiana na hata wengine hutongozana kisirisiri lakini wakishapatana huwa hawasemi lakini wengi wengi tayari tumeshakutolea hukumu bila hata kukupa nafasi.

  Mimi nadhani kama una mapungufu mtu mzuri angekueleza wapi umekosea na nini cha kufanya lakini wengi wanatoka na hukumu .

  Binafsi nakufurahia na kujifunza kwa aina ya mada zako

  PLEASE KAMA ULIVYO MUWAZI SANA NAOMBA UENDELEE KUWA WAZI NA USIONDOKE KWA HASIRA ZA WATU WACHACHE NAKUOMBA USIONDOKE
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,521
  Trophy Points: 280
  Kaanzishe JF juniour huko uendako tukiichoka tutakuja huko uliko!!
   
 17. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usichoke my dear...uvumilivu ndio muhimu binaadam lazma tupishane kimawazo sasa hakuna sababu ya kuchukia takeit n eassy.. everry thing gona be allright ahead...bora uwe mkimya na uvumilie lakini usituwache...tushakuzoea..:A S 13::A S 13:
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,759
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Pole my dia we wafumbie macho tu lol
   
 19. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  sioni ni nini hasa cha kukukimbiza hapa JF,
  Wewe unatoa mchango wako, lakini si wote wanaweza kukubaliana nao,
  Binadamu tumeumbwa na mitizamo tofauti katika maswala mengi,
  kwahiyo mimi binafsi sioni taabu, wala sishangai mawazo ya mtu yeyote!!!!
  Wazo lako ndio mwendelezo wa michango na mitizamo mingine hapa!
  Napenda sana jinsi ambavyo umekiri kuwa unatoa mawazo na michango iliyo ya kweli,
  kwani hilo ndilo tunalolihitaj hapa jukwaani, kwani zaidi ya burudani hapa,
  tunajifunza na kushare experience tofauti tofauti katika maisha!
  Usikimbie NE, jaribu kuushinda moyo na pambana!!!!!
  Tupo pamoja!!!!!!!!
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,339
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Habari lako wewe binti?
   
Loading...