Ni heri nitoke jf

usichoke my dear...uvumilivu ndio muhimu binaadam lazma tupishane kimawazo sasa hakuna sababu ya kuchukia takeit n eassy.. everry thing gona be allright ahead...bora uwe mkimya na uvumilie lakini usituwache...tushakuzoea..:A S 13::A S 13:

salaam aleikhum bibie!!!!!!!!!
 
Hebu twende kwenye jukwaa lako kule.....weekend haikuwa njema kwangu.

Uko ok my love?

Maskini poleee Babuu karibu lile jukwaa mwaya upate kitu roho inapenda :wink2::wink2:
I'm super ok my love hahaaa hahahaaa
 
Please we bidada siyo wote wanaokuchukia wengine tunakupenda natunatamani sana kuendelea kukuona hivyo kama hutajali sikiliza ushauri wa wenzako na wanajamii wengine kwa ujumla na uwapuuze wale ambao wanaendelea kukushambulia hili ni eneo huru na panakwa kila mtu hakuna mwenye haki zaidi ya mwenzake tunakuomba urudi.
Please say something.
 
hatudiscuss kuna mtu ataka apunguze namba hapa sasa twajaribu kumzuia lakini naona kama keshaondoka vile??

Nilham hujambo mpenzi?

hebu nipe maendeleo.....nilipiga magoti kwa ajili yako ujue?

BTW kama hana nauli, stendi anaenda kufanya nini?....Si anaahirisha safari mpaka apate nauli?
 
heheeheheh halafu naskia wakuita babu kwani unamiaka mingapi wewe?? mie alhamdulillah abuy mzima wa afya...vipi na we hali zako lakin:decision:??
Nilham hujambo mpenzi?

hebu nipe maendeleo.....nilipiga magoti kwa ajili yako ujue?

BTW kama hana nauli, stendi anaenda kufanya nini?....Si anaahirisha safari mpaka apate nauli?
 
heheeheheh halafu naskia wakuita babu kwani unamiaka mingapi wewe?? mie alhamdulillah abuy mzima wa afya...vipi na we hali zako lakin:decision:??

Mie buheri bibie.....

Babu si shurti awe na mjukuu? Babu si umri bibie, babu ni kuwa na wajukuu.

Nikukaribishe uwe miongoni mwao?
 
Naona msimamo wako ni haba unateteleka kirahisi namna hii ,
Unaumizwa na Keyboard
All the best "usirudi kivingine dear sissy"
 
Not Enough Mbona unaonesha udhaifu kwenye hii changamoto ndogo sana, napata picha kuwa utakuwa unaishi kwa shinda sana Mtaani, kazini au sehemu nyingine yoyote unayotembelea na kushiriki na watu kama hapa JF.Mbona Changamoto ni sehemu ya Maisha, inapotokea huwezi kukabiliana nazo ni jibu tosha kuwa huwezi kukabiliana na maisha kitu ambacho ni kibaya na wengi hufikia uamuzi hata wa kutaka kujitoa roho mkwa kushindwa kukabiliana na changamoto ndogo ndogo kama hizi!
 
Post zako mara nyingi zinakuwa tata, sasa kutokana na utata huo ndiyo maana unakuwa too much discouraged! Hebu fikiria leo hii unaomba ushauri wa kutembea na mke wa mtu na inawezekana kweli huyo mke wa mtu anakupenda na ana kila kitu lakini MAMBO MENGINE NI YA KUAMUA TU, mwisho utakuja kuuliza hivi BF nimpe bao ngapi ili aridhike. Hoja zako mara nyingi zinakuwa fyongo sana.
 
Back
Top Bottom