Ukweli wa Maisha ya Mtanzania...!

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wanajamii,

hii ndio hali halisi ya maisha ya ndugu, jamaa na marafiki zetu waliopo vijijini ambao hivi karibuni Serikali yao itamlipa muwekezaji (Dowans Tanzania Ltd) deni linalotokana na uzalishaji wa umeme (ambao bibi huyu hajawahi kuuona) kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 95...!

maisha magumu 1.jpg

View attachment 20622

maisha magumu 2.jpg
 
View attachment 20626

Wakati mwingine unaweza kusema maisha haya si ya kuwalaumu wanasiasa wetu tu, pengine tumuombe na Mungu atufungulie neema zake, kwani hali ya maisha ni ngumu sana kwa wanachi wengi wa vijijini na ile dhana ya maihsa bora kwa 'kila mtanzania' ni msemo ambao unapoteza maana kila kukicha. Munagalie huyo bibi pichani juu, yumo ndani ya kijumba chake, ni asubuhi ameamka na kutafakari akiwa juu ya kijitanda chake, 'leo nitaishije,!

View attachment 20627

...ndiyo kumeshakucha na ni lazima aamke kutafuta riziki...anaanzia wapi!

View attachment 20628

...mchana umefika, watoto lazima wale na huu ndiyo mlo wao wa siku...ukiingalia familia hii kwa makini huhitaji kuambiwa ina matatizo kiasi gani.
PICHA: Hisani ya mdau Emmanuel Abel (globalpublisherz)

kwa kweli hawa kipao mbele chao ni katiba mpya ?
 
mtu wa pwani, these people u r trying to point @ r leading a happier life than you can imagine, if from today on u،d spend more time on productive activities and less on non productive debates(like dowans and katiba mpya) you may bring a change.
 
Inasikitisha mno na hakika Mola ainusuru nafsi yangu isitokee maishani nikawakandamiza viumbe wenzangu kwa kiasi hiki, YAHUZUNISHA ama kwa hakika,
 
Inasikitisha mno na hakika Mola ainusuru nafsi yangu isitokee maishani nikawakandamiza viumbe wenzangu kwa kiasi hiki, YAHUZUNISHA ama kwa hakika,

hawa wanakandamizwa na nani?
 
well najua hatuwezi watu wote kuwa sawa ila tunaweza kusaidia kidogo, tujiulize kuna mkakati gani ambao ni tangible kutoka serikalini kujaribu kurekebisha hali hii?
 
Just imagine huyo bibi anajisikiaje hapo? Pengine hajawahi kula nyama zaidi ya miaka kadhaa. Lakini pia, wakati serikali yake inajiandaa kulipa shilingi bilioni 94, yeye hajawahi hata kuuona huo umeme hata siku moja...!

Kweli inasikitisha sana...! Hapa ndio naamini kwamba ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuridhi ufalme wa mbinguni...!

Ee mungu tusaidie...!
 
Kwa kweli picha hii imenisikitisha sana mpaka machozi yamenilenga nikitafakari maisha wanaoishi familia hii!:sad:
 
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.kikwete na mkukuta niaje?au ndo mbinu mbadala ya ufisadi?mi hata sielewielewi vile?
 
hapo hapo viongozi wa selikali wakienda kuwaomba kura wanaenda na shangingi la milioni mia mbili, alafu maskini wa watu anawapa kura vilevile. Mungu atawahukumu enyi mafisadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom