Tulinasana wakati tukijamiiana

huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.
Mmmmh pole sana kwa mkasa uliokukumba!
 
Si unajua tena FD, hebu nifundishe njia za kileo... Labda Madam T anaweza kunifikiria katika kipindi hiki cha maajilio
mie mwenyewe siku hizi nimeshasahau kutongoza uwa natanguliza cash tu na nikiona wananizingua naenda Jolly
 
Hivi kwa nini wanaume ndo wanapenda kuwawekea wake zao tego.... kwa nn hatusikii wanawake wakiwekea waume zao hiyo mitego?

Askofu kwani hujasikia wanaume wakilalamika hapa kuwa wakienda kucheza ugenini jongoo hapandi mtungi?
 
Dawa ya tego ni njegele mbichi....ukimhisi ni demu au mke wa mtu...wakati unaongea naye unazishika njegele viganjani huku unachezesha mikono kama dk mbili hivi but asijue then zichungulie,kama ukikuta zimekauka basi hapo kuna tego na style pekee ni chuma mboga(doggy style), hautanasa....ila njegele zikiwa bado mbichi basi iko free endelea style zote!
 
Jamani JF iko juu sana, hadi waganga wa jadi wana visit!
 
mie mwenyewe siku hizi nimeshasahau kutongoza uwa natanguliza cash tu na nikiona wananizingua naenda Jolly

lol, FD... we kiboko... Kila la Kheri... (Do not forget to condomize)...

Askofu kwani hujasikia wanaume wakilalamika hapa kuwa wakienda kucheza ugenini jongoo hapandi mtungi?

Anhaaaaaaaa.... Kumbe na wao wanafanya hivyo? Duh...

Dawa ya tego ni njegele mbichi....ukimhisi ni demu au mke wa mtu...wakati unaongea naye unazishika njegele viganjani huku unachezesha mikono kama dk mbili hivi but asijue then zichungulie,kama ukikuta zimekauka basi hapo kuna tego na style pekee ni chuma mboga(doggy style), hautanasa....ila njegele zikiwa bado mbichi basi iko free endelea style zote!

Kweli we Zamanizamani....

Sasaaaa??? Utakuwa kila ukienda kutongoza unabeba njegele?
 
Dawa ya tego ni njegele mbichi....ukimhisi ni demu au mke wa mtu...wakati unaongea naye unazishika njegele viganjani huku unachezesha mikono kama dk mbili hivi but asijue then zichungulie,kama ukikuta zimekauka basi hapo kuna tego na style pekee ni chuma mboga(doggy style), hautanasa....ila njegele zikiwa bado mbichi basi iko free endelea style zote!
salute mkuu hii nimeipenda sana
 
Bado sijaelewa....mlinasaje? Ninachojua mimi mbwa ndo hunasa tena wanaweza kunasa hadi masaa kwa sababu dhakari ya mbwa inakuwa na fundo pindi iingiapo ndani ya uke. Sasa hii ya binadamu kunasa aaaah....
 
we unaongea hivyo, bora ulinata...kuna jamaa kule Ifunda Tech miaka fulani, kule iringa kwa wale wanaokujua....alichukua mke wa mtu. basi akaondoka kwa usalama kabisa akiwa amemaliza shughuli yake..alipofika mbali, akapata haja ya mkojo, akasema ngoja nikojoe..alivyoanza kukojoa mkojo unatoka, kidude kikachomoka chote, kikaenda na mkojo kikadondoka chini. pakabaki kama hapakuwa na kitu kabisa yaani pameungana nyama imejirudi, ukisema maeneo ni ya mke, uke haupo, hivyo ni aina fulani tu ya mwili na kidude kimedondoka..JAMAA LICHOFANYA, ALIKIOKOTA akakishika mkononi mbio kwa mwibiwa, akaeleza ukweli wote. si unajua wahehe, alichokipata ilikuwa fundisho kwa wanafunzi wote. unalipa hela na kifo juu.
hiyo ndo balaa.
 
huu mwaka bora uishe, sitasahau siku niliyonasa kiunoni kwa masaa tisa nikijamiana na mwanamke.
sikujua kuwa ni mke wa mtu hadi aliposema yeye ni mke wa mtu na tukampigia bwanake simu kumjulisha kuwa teso lake limenasa.
Hizi huwa nazisikia kama simulizi tu kutoka kwa watu ambao walisimuliwa... sasa kwa kuwa hapa 'nimekutana' na mwathirika mwenyewe, naomba ufafanue kwa undani hasa inakuwaje kwenye huko kugandana. Ni ngozi ndizo zinagandana au kunakuwa na nguvu gania mbayo inasababisha mshindwe kubanduka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom