Mkeo akikuuliza hili swali unajibuje???

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,741
2,000
BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAMU KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA KAMA MIEZI 7 BILA AJIRA AKAKAUTANA NA RAFKIE ANAJUANA NA MKURUGENZI MMOJA WA KAMPUNI ZA *******GAFLA WAKAKUTANA PAMOJA....NA MH BINTI KWA SHIDA ALIOKUWA NAYO AKAHAIDIWA USAFIRI WA KWENDA NA KUMRUDISHA NA MSHARA MZURI TU....JAMAA AKATOA MASHARTI MOJA YA KUPATA JOB NI KULIWA TUNDA LA e@#$%BINTI AKAONA AMSHIRIKISHE MUMEWE KWA HILI...MUME WANGU NIMEPATA AJIRA LAKINI KUNA HILI SWALI LA KUSHIRIKIANA BOSI ANATAKA KULA TUNDA LAKO NIFANYEJE.....UKIWA KAMA WE NI MUMEMTARAJIWA WA NDOA KAMA HII EMBU JITWIKE ZIGO PILI NAKUPONGEZA MAMA KWA KUMSHIRIKISHA MUMEO HILI INGAWA SIRI YAKO NA YANGU KAMA ALISHAKULA MZIGO AMA LA MUME ANAPELEKEWA KAMA USHAHIDI ACOMFIRM......JmNI NDOA
 
Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
0

Watu wengi wana tatizo la kuandika kwa ufasaha. Utakuta mtu anadharau utumiaji wa NUKTA, NAFASI na hata kuandika kwa kifupi au kuandika neno isivyo. Hii inachangia mtu kupata tabu sana anaposoma topic haina vituo, nafasi na maneno yameonganishwa-unganishwa. Mfano hapa kuna maneno MIZNGAKALE, MSHARA, MUMEMTARAJIWA, au sentensi BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAM KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA . . . ni ngumu kumuelewa mtu kwa kuandika hivi
 
NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
592
500
Yeye amemshirikisha mumewe wa nini? Yeye angetoa tu tunda kisiri then achukue kazi
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,990
2,000
Nilipofungua mada na kuanza kuisoma nikajisemea mwenyewe labda tatizo langu niko mgumu wa kuelewa.

Kumbe wala si mimi. Pheeeeew....
 
KIBE

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
943
0
Topic yake inaeleweka nyinyi.
Hiyo bwana ni rushwa ya ngon live binafsi ninge piga 113 kwa dr.hoseh tumwekee mtego wa rushwa.
 
Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,395
1,500
Watu wengi wana tatizo la kuandika kwa ufasaha. Utakuta mtu anadharau utumiaji wa NUKTA, NAFASI na hata kuandika kwa kifupi au kuandika neno isivyo. Hii inachangia mtu kupata tabu sana anaposoma topic haina vituo, nafasi na maneno yameonganishwa-unganishwa. Mfano hapa kuna maneno MIZNGAKALE, MSHARA, MUMEMTARAJIWA, au sentensi BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAM KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA . . . ni ngumu kumuelewa mtu kwa kuandika hivi

tusaidiane wakuu kunyoosha pale palipo pinda nadhani mnajua tena uswa wa lugha hii adhimu ya kiswahili
haufanani katika kuiandika
 
nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
544
250
Jamani alimaanisha hivi;

Binti mmoja alibahatika kuwahi kuolewa na bwana mmoja ‘handsome'. Huyo binti sio mpiga mizinga kwani wakati alipoolewa alikuwa na ajira yake lakini ghafla ajira ya binti ikasitishwa.Huyo binti alikaa miezi 7 bila ajira na siku moja akakutana na rafiki yake ambaye anajuana na mkurugenzi mmoja wa kampuni za **** na huyo rafikiye akamuunganisha na huyo Mkurugenzi.

Binti alipokutana na Mkurugenzi na kwa shida aliyokuwa nayo akaahidiwa usafiri wa kwenda na kumrudisha na mshahara mzuri tu.Sharti la kupata kazi lilikuwa kuliwa tunda la e@#$% .Binti akaona amshirikishe mumewe kwa hili… "Mume wangu nimepata ajira lakini kuna hili suala la kushirikiana, bosi anataka kula tunda lako nifanyeje?"

Nakupongeza mama kwa kumshirikisha mumeo.Ukiwa kama wewe ni mume wa ndoa kama hii embu jitwike zigo la pili hili la mume kupelekewa kama ushahidi a ‘comfirm', utajibuje,utafanyeje?......jamani ndoa!!
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,158
2,000
BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAMU KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA KAMA MIEZI 7 BILA AJIRA AKAKAUTANA NA RAFKIE ANAJUANA NA MKURUGENZI MMOJA WA KAMPUNI ZA *******GAFLA WAKAKUTANA PAMOJA....NA MH BINTI KWA SHIDA ALIOKUWA NAYO AKAHAIDIWA USAFIRI WA KWENDA NA KUMRUDISHA NA MSHARA MZURI TU....JAMAA AKATOA MASHARTI MOJA YA KUPATA JOB NI KULIWA TUNDA LA e@#$%BINTI AKAONA AMSHIRIKISHE MUMEWE KWA HILI...MUME WANGU NIMEPATA AJIRA LAKINI KUNA HILI SWALI LA KUSHIRIKIANA BOSI ANATAKA KULA TUNDA LAKO NIFANYEJE.....UKIWA KAMA WE NI MUMEMTARAJIWA WA NDOA KAMA HII EMBU JITWIKE ZIGO PILI NAKUPONGEZA MAMA KWA KUMSHIRIKISHA MUMEO HILI INGAWA SIRI YAKO NA YANGU KAMA ALISHAKULA MZIGO AMA LA MUME ANAPELEKEWA KAMA USHAHIDI ACOMFIRM......JmNI NDOA
............za simu
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,158
2,000
Topic yake inaeleweka nyinyi.
Hiyo bwana ni rushwa ya ngon live binafsi ninge piga 113 kwa dr.hoseh tumwekee mtego wa rushwa.
kabla mtego haujafanikiwa unakuta jamaa kashammega wife viwili vya fastaaaa, nania anataaka mambo hayo banaa
 
Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
0
tusaidiane wakuu kunyoosha pale palipo pinda nadhani mnajua tena uswa wa lugha hii adhimu ya kiswahili
haufanani katika kuiandika

Ili tatizo lisijirudie inapaswa kumsaidia kwa KUMPA WAVU NA KUMFUNDISHA AVUE SAMAKI YEYE MWENYEWE, asizoee kupewa (kurekebishiwa)samaki kila mara
 
AIZAK

Member
Dec 13, 2010
84
0
kwanini maoovu yangono yanazidi sana sikuhizi?eeh mwenyezi mungu tuepushe na sodoma.
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,609
2,000
Arudie vipi na yeye ndio kamaliza hapo,inawezekana mtoa mada ni mzanzibar.

wazanzibari hawaandiki hivyo hata siku moja,wana viswahili vyao lakini sio kama hivyo.kama neno aliloliandika huyo GAFLA,au EMBU. Nakataa kata kata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom