Nyumbani hautoi dozi ya kuridhisha na bado unakwenda nje

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.
 
Sasa kwanini unawalaumu wakati wanasaidia kushusha demand za mademu wa mtaani.... jibaba linahudumia kila kitu, ikija kwenye vituuuzzz kijana anajilia taratibuuu!!
 
Doh! Issue hapa ni bao zisizo na tija ama issue ni tabia mbaya ya kutoka nje..lakini zote si nzuri
 
Ama kwa hakika anayevumilia haya ana moyo mkuu...na Mungu ambariki na amuepushie asipate magonjwa ya ziada kwa kupigania haki yake ya ndoa japo na yenyewe haina tija...
 
We dada una masimango sana wewe, ndo maana mzee alikutoroka siku ya Valentines!
Nani anapenda vuvuzela bana....:blah:
 
Aisee unaonekana umejawa na hasira sana, yawezekana janaume lako limekubore ukaamua kupaa hewani. Dah, then usitujumuishe na sie, tupo tunaojua thamani ya ndoa bana.
 
Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa madeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemu huko nje. Ni aibu tu mnapeleka huko nje unafuata visichana vimezoea dozi kubwa wewe unaenda kupiga kabao kako kamoja na kunza kuhema na kujamba jamba ovyo.

Ni hela tu wanawachukulia hakuna dozi yoyote unayotoa, kama wewe kidume si uonyeshe udume wako nyumbani kwanza? Saa nyingine si kwamba tunaona wivu unatembea nje ila ni jinsi gani unaenda kutia aibu huko nje na vibao vyako visivyo na TIJA.

...eeehhh?, huenda jibaba linakuja nyumbani 'kutimiza wajibu' tu, labda hakuna mvuto wala msisimko tena.
 
NOT ENOUGH,
Do u hav a hidden agenda towards MEN? Ama leo 'umetendwa'????
All of your tonights' threads ni kwetu tuuuuu
 
We dada una masimango sana wewe, ndo maana mzee alikutoroka siku ya Valentines!
Nani anapenda vuvuzela bana....:blah:

Yale ya valantine yamekwisha sasa hivi nimeamua kuwapa ukweli wanaume kwani huwa wanahangaika sana na kuwaacha wake zao wakisononeka manyumbani. Nina uhakika humu ndani kuna ambao wanapata somo.
 
NOT ENOUGH,
Do u hav a hidden agenda towards MEN? Ama leo 'umetendwa'????
All of your tonights' threads ni kwetu tuuuuu

There is no hidden agenda here, I have just decided to give you guys black/white. And I am sure the message is SENT, DELIVERED, RECEIVED AND CLEARLY UNDERSTOOD.
 
Yale ya valantine yamekwisha sasa hivi nimeamua kuwapa ukweli wanaume kwani huwa wanahangaika sana na kuwaacha wake zao wakisononeka manyumbani. Nina uhakika humu ndani kuna ambao wanapata somo.

Mbona wewe ulitaka mwenzako achwe akisononeka??Kua na msimamo kwenye threads zako!Sio leo ni njiwa..kesho popo..husomeki wala hueleweki!
 
Mbona wewe ulitaka mwenzako achwe akisononeka??Kua na msimamo kwenye threads zako!Sio leo ni njiwa..kesho popo..husomeki wala hueleweki!

Bora lizzy useme, tatizo la huyu shostito anadhani watu huwa wanasahau mambo!!!
 
Mbona wewe ulitaka mwenzako achwe akisononeka??Kua na msimamo kwenye threads zako!Sio leo ni njiwa..kesho popo..husomeki wala hueleweki![/QUOTE

Lizzy why dont you pull your blanket and pillow and start calling your beautiful dreams!!!
 
We dada una masimango sana wewe, ndo maana mzee alikutoroka siku ya Valentines!
Nani anapenda vuvuzela bana....:blah:

Mkuu; NE ni very controversial. Why?

1. Yeye mwqenyewe anatafuta Mume
2. Yeye mwenyewe ana mume
3. Yeye mwenyewe hawezi kupitisha siku bila ngono
4. Yeye mwenyewe Mr wake alimtoroka wakati wa valentine
5. yeye mwenyewe anamzimia Mume wa mtu na anamtaka
6. Yeye mwenyewe anapinga nyumba ndogo wakati anataka awe nyumba ndogo . . .

And the list goes on.

OMG: NE will never stop amazing me . . .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom