Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,716
36,180
Habari zenu!

Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia.

Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza ndizi, mboga, matunda, uji, karanga, genge n.k.

Mama ambaye hatumii mwili wake kama chanzo cha kipato.

Amebarikiwa huyo mama, uzao wake utabarikiwa.

Binti mwenye viuongo vyote hataki kufanya kazi halali, kutwa kutwa kutingisha makalio Instagram, TikTok, Binti kutwa kutwa kuzurura bar mbalimbali kujiuza.

Binti anayejifanya kufanya biashara sehemu kumbe biashara ni mtego tu, lengo lake kubwa ni kufanya ufuska apate pesa amelaaniwa yeye na atakaowazaa.

Binti ambaye kazi yake kufanya ngono na waume za watu Ili apate pesa.

Binti ambaye kutwa kutwa kutuma picha Facebook ili atongozwe inbox.

Amelaaniwa.

Haijalishi anapata fedha kiasi gani, amelaaniwa.

Acha mara moja. Utatuletea kizazi kilicholaaniwa , kisicho na faida kwa Taifa.

Hata sisi wanaume walitupiga Kiboko ya Jiwe tulidhihakiwa tukanyanyaswa kisa kumtoa mtu kwenye umaskini ni bora kuchuna nakupita hivi kuliko kupebda kwa dhati nimelala chumba kimoja na mtu nikaliwa kisela bilA hata kifuta jasho nalipiachumba mimi ada mimi mavazi mimi mwisho wasiku naitwa mbilikimo nisiyejitambua nipeleke kichaa changu huko.

NAakaoa mwingine unajua kodi mie , kula mie kila kitu mie nilikuwa nalipa laki moja kwa mwezi na pamoja chakula ni laki mbili ada nilimwombea kwa ngo fulani ili asomeshwe kama mie . Alipohitimu akaenda nje e weeh kurudi mie takataka ukiona mtu mwanaume unawaza anash. Ngapi bora uliwe upewe matumizi akiishiwa aende alikotoka hiyo ni bora
 
Mdogo wangu usije kuvumilia mtu anaeitwa mwanaume maskini hakunaga mapenzi ya kimaskini. Ukitaka kujua mwanaume na mapenzi yake awe na pesa namaanisha pesa za kutumia
 
My wife's hustle vs others

_20240228_194753.JPG
 
Mkuu, ukiacha maneno mengi, duniani hatupo kuteseka,
Kikubwa maokoto yapo yaishe, kusema bora uishi ukiteseka huku unapata 150k kwa mwezi au kuhongwa upate 1M kwa mwezi huku umelala kazi kusex tu,

Believe me waulize wanawake wote, kati ya options hizi mbili ipi wataichagua, 99% watachagua kuhongwa, hio moja watasema wakajifikirie kisha wakirudi watakubali kuhongwa,

Maisha yanataka matokeo, sio process nyingiii, kama una chance ya kuhongwa wew hongwa tu, kama unaweza fanya kazi fanya sanaaaa
 
Back
Top Bottom