Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,140
- 4,218
Sasa hivi wanachokifanya CCM ni kuonyesha ukaidi mkubwa juu ya rasilimali za taifa hili.
Wanatoza watu tozo wanavyotaka bila kuangalia utu na vipato vya raia.
Sasa hivi wamehamisha raia wa Ngorongoro kwa manufaa yao na matumbo yao.
Hivyo wana maanisha kuwa hata wafanye makosa namna gani lazima 2025 washinde kwa dharau.
Tukatae hizi dharau.