Nguo walizoacha watoto wako unapeleka wapi?

Nimewaza tuu hii mitumba tunavaa miaka nenda rudi.... Hatuwazi kuwa hizo Nguo zimebeba nafsi za watu..... Hapana. Ila kwetu sisi... Nguo majumbani mwetu ambazo labda hazitumiki tena... Tunaona kugawa hapana... Zimebeba nafsi zetu.... Nawaza tuu.... Nawaza.... !!! Hahahahahahaha
Aisee!
 
Kwa upande wangu, huwa natoa nguo hizo kwa majira zangu ambao hawana uwezo ila ni kwa nguo ambazo ziko vizuri na ambazo hazifai kumpa mtu nachoma moto ikiwa ni pamoja na makufuri hata iwe ni ya sh 1M na nibado mpya ni moto
 
Hahahaha
 
Kama kawaida yako mambo ya lugha ngumu!...Rafiki aya ya mwisho umemaanisha nini?au nikanywe kwanza chai ndo nirudi?
 
Pale Mburahati kuna kituo cha kulelea na kutunza watoto, wazee, wenye ulemavu wa kila namna. Kila ikifika birthday ya baby wangu tunachukua nguo zake zote na kuzipeleka pale, wanasema hiyo ndio dini ya kweli. Plus other items kama diapers, wipes, cornflakes, milk na miswaki, dawa za miswaki etc.
 
Kuna Kituo kipo kigamboni kinaitwa Nunge wanalea wazee na watoto yatima wanapokea nguo Kuanzia za watoto mpaka za wakubwa. Wafikishien jamani Zamani nikikosa mtu wa kupeleka kijijini nilikuwa nazichoma

Kuna mama mmoja akanikuta alinishangaa, akaniambia nguo ni kama Chakula ukikitupa kuna Mwenzio ameshinda njaa, akanielekeza siku napeleka watoto wanagombea nguo mpaka wengine wanalia. Toka hapo kila mwaka Huwa sikosi kupeleka nakusanya hadi nguo za watoto wa majirani nawapelekea
Interesting...

Be blessed!!
 
Nimewaza tuu hii mitumba tunavaa miaka nenda rudi.... Hatuwazi kuwa hizo Nguo zimebeba nafsi za watu..... Hapana. Ila kwetu sisi... Nguo majumbani mwetu ambazo labda hazitumiki tena... Tunaona kugawa hapana... Zimebeba nafsi zetu.... Nawaza tuu.... Nawaza.... !!! Hahahahahahaha
Shida ni kuwa sisi waafrika/watanzania tumejawa sana na imani za kishirikina kiasi kwamba ni ngumu sana kumuamini kuwa jirani yako, tena akiwa hana uwezo ndio kabisa unakosa imani nae.
 
Kuna Kituo kipo kigamboni kinaitwa Nunge wanalea wazee na watoto yatima wanapokea nguo Kuanzia za watoto mpaka za wakubwa. Wafikishien jamani Zamani nikikosa mtu wa kupeleka kijijini nilikuwa nazichoma

Kuna mama mmoja akanikuta alinishangaa, akaniambia nguo ni kama Chakula ukikitupa kuna Mwenzio ameshinda njaa, akanielekeza siku napeleka watoto wanagombea nguo mpaka wengine wanalia. Toka hapo kila mwaka Huwa sikosi kupeleka nakusanya hadi nguo za watoto wa majirani nawapelekea
Hngera, mola akuzidishie.
 
Back
Top Bottom