Hiyo ni imani tu si lazima iwe kweli. "... mwenye kanzu mbili umpe asiye na kanzu..."Wengi hawazigaw siku izi kwani nguo ya MTU hubeba nafsi ya mwenye nguo
Hiyo ni imani tu si lazima iwe kweli. "... mwenye kanzu mbili umpe asiye na kanzu..."Wengi hawazigaw siku izi kwani nguo ya MTU hubeba nafsi ya mwenye nguo
Hebu elezea kidogo hapa. Nimeshtuka kidogo maana ni juzi tu nimetoka kugawa lundo la nguo ambazo sikuwa nazivaaWengi hawazigaw siku izi kwani nguo ya MTU hubeba nafsi ya mwenye nguo
Aaanha ..sawaa beefMimi kwetu Chilondolo, nangurukulu si hapo tu hata kwa baiskeli nafika.
Nigaie ndg, mi ndo kwanza naanza kuzaaHata mi huwa najiuliza sijui nizifanyeje, zipo nyingi sana.
Mkuu Asante sana kwa taarifa hiiKuna Kituo kipo kigamboni kinaitwa Nunge wanalea wazee na watoto yatima wanapokea nguo Kuanzia za watoto mpaka za wakubwa. Wafikishien jamani Zamani nikikosa mtu wa kupeleka kijijini nilikuwa nazichoma
Kuna mama mmoja akanikuta alinishangaa, akaniambia nguo ni kama Chakula ukikitupa kuna Mwenzio ameshinda njaa, akanielekeza siku napeleka watoto wanagombea nguo mpaka wengine wanalia. Toka hapo kila mwaka Huwa sikosi kupeleka nakusanya hadi nguo za watoto wa majirani nawapelekea
Kuna Kituo kipo kigamboni kinaitwa Nunge wanalea wazee na watoto yatima wanapokea nguo Kuanzia za watoto mpaka za wakubwa. Wafikishien jamani Zamani nikikosa mtu wa kupeleka kijijini nilikuwa nazichoma
Kuna mama mmoja akanikuta alinishangaa, akaniambia nguo ni kama Chakula ukikitupa kuna Mwenzio ameshinda njaa, akanielekeza siku napeleka watoto wanagombea nguo mpaka wengine wanalia. Toka hapo kila mwaka Huwa sikosi kupeleka nakusanya hadi nguo za watoto wa majirani nawapelekea
Yanawatokea wengi haya na wa bongo ni masikini jeuri wewe.Kuna jirani alikua ana nguo nyingi na viatu vya kutosha sasa vikimbana akawa anapeleka kijijin kwa ndugu kuwagawia (kule hawana nguo tabu tupu) baada ya muda weee maneno yakazuka eti nguo kajampia wee ndo kaona wao maskin sana wana shida anaenda warushia matambala yake na viatu.
Kuzima maneno akaacha tabia ya kugawia mtu yoyote nguo bali kuzitia moto
Yanawatokea wengi haya na wa bongo ni masikini jeuri wewe.
Hata mi huwa najiuliza sijui nizifanyeje, zipo nyingi sana.
mmh huwa najishtukia mtu asijeona nampa nguo zimetumika tena za mtotoNdugu, jamaa, marafiki na hata majirani bila kusahau watoto yatima.
Huku kwetu Kwamtogole kuna msiba ulitokea, ulikuwa wa mtoto lakini mama mtoto alikuwa bado anaishi kwa wazazi wake. Siku ya hitma chakula haki kutosha, mwitikio wa watu ulikuwa mkubwa sana. Mama wa yule mtoto akasema wamekuja kula tu hapa.Sana. Huku mnapoishi siku chakula kikibaki ukagawa kwa wasiojiweza watakusonya na kukuangalia jicho hilo hadi unaamua kukimwaga tu jalalani.
Ndo maana ile hali ya kujitolea hata pesa wengi hawana sababu ya maneno na dharau
mmh huwa najishtukia mtu asijeona nampa nguo zimetumika tena za mtoto