Nguo walizoacha watoto wako unapeleka wapi?

Nguo walizoacha watoto wako unapeleka wapi?

Kawaida huwa nampa mtu ambae naona anauhitaji ama napeleka msikitini.
 
Mimi huwa ninagawa kwa watoto wadogo wa hao walioziacha.hawana rika Moja.
Wa miaka mitano atavaa za mkubwa wake.
Nimeeleweka ?
 
Kabila letu haliluhusu kabisa, kugawa nguo zilizo valiwa.
Siye anayekupatia nguo anamaana nzuri.
 
Hata mi huwa najiuliza sijui nizifanyeje, zipo nyingi sana.
Kumbe utu umekupitia mbali. Wahitaji wote hao hukuwaona mpaka nguo zinakuwa nyingi mno usizozitumia? Unasubiri mpaka ushauriwe jinsi ya kuzidispose of? What a shame!
 
Enzi za magufuli wanavaa mpaka miaka 7 ya ukomo wake pendekezwa na ccm
 
Back
Top Bottom