Nguo walizoacha watoto wako unapeleka wapi?

Nguo walizoacha watoto wako unapeleka wapi?

jifunze kusaidia wasiojiweza kuna vituo kibao vya yatima wana huitaji mkubwa wa nguo. Mie mpaka TV nikiichoka uwa napeleka kwa yatima uwa narudishiwa Zaidi kwa kufanya hivyo. Kuna gari ninalo hapa nimeliweka sokoni naona watu wanataka kunilalia nadhani nalo nitalipeleka kwa yatima liwasaidie hata kuwakimbiza hospitalini wakati wa dharula
Mi naomba hilo gari mkuu
 
Najishtukia haiwezi kuwa ile "mtoto wake kavaa weee kazichoka ndio kaleta"
peleka tuu...wewe utakuwa umetimiza wajibu wako......na moyo wako utaondoka pasina shaka, kwani umepeleka kwa wanaohitaji,,,,,wavae wazichome ju yao.
 
Wengi hawazigawi siku hizi kwani nguo ya MTU hubeba nafsi ya mwenye nguo
Nimewaza tuu hii mitumba tunavaa miaka nenda rudi.... Hatuwazi kuwa hizo Nguo zimebeba nafsi za watu..... Hapana. Ila kwetu sisi... Nguo majumbani mwetu ambazo labda hazitumiki tena... Tunaona kugawa hapana... Zimebeba nafsi zetu.... Nawaza tuu.... Nawaza.... !!! Hahahahahahaha
 
Watoto wanakua na suruali, masharti, kaptula, t-shirts, magauni na pyajama wanaziacha kila mwaka.

Unapeleka wapi nguo hizo? Kuna watu hawapendi kuolewa masalia, ndiyo maana ya kuuliza
Mkuu nguo wanazoacha wanao kutokana na kukua, unaunganishaje na kuolewa masalia?
Au mimi sijakuelewa labda!
 
Peleka kwa watoto yatima, au magereza ya watoto pia
 
Asiejua wapi pa kupeleka hizo nguo naomba anipe mimi nigawie ndugu zangu, ni PM.
 
Back
Top Bottom