All in all chupi haigeuzwi dekioWatoto wanakua na suruali, masharti, kaptula, t-shirts, magauni na pyajama wanaziacha kila mwaka.
Unapeleka wapi nguo hizo? Kuna watu hawapendi kuolewa masalia, ndiyo maana ya kuuliza
Hutunzwa au wanazitoa kwa watu wanaowaamin sanaWanapeleka wapi?
Najishtukia haiwezi kuwa ile "mtoto wake kavaa weee kazichoka ndio kaleta"Ninadhani wazo la kupelekea watoto yatima ni zuri
Kijijini kwenu wapi Nangurukuru. .??Huwa nagawa Kwenye vituo vya watoto yatima au nikienda kijijini kwetu napeleka nagawa kwa ndugu na majirani WA huko.
Mimi kwetu Chilondolo, nangurukulu si hapo tu hata kwa baiskeli nafika.Kijijini kwenu wapi Nangurukuru. .??