Nguo walizoacha watoto wako unapeleka wapi?

Kumbe utu umekupitia mbali. Wahitaji wote hao hukuwaona mpaka nguo zinakuwa nyingi mno usizozitumia? Unasubiri mpaka ushauriwe jinsi ya kuzidispose of? What a shame!
shame kwenye vitu vangu? Heeeee ni mzima wewe?
 
Hata mi huwa najiuliza sijui nizifanyeje, zipo nyingi sana.
Hapo Dodoma wagogo kibao kutoka bahi hawana nguo wagawie tu hata wale wanchemba unaweza kuwapeleka
Other option ukienda likizo hapo kwetu Butimba zibebe tutazigawa kwa wahitaji wapi wengi tu
 
shame kwenye vitu vangu? Heeeee ni mzima wewe?
Ni mzima tu. Vitu ni vyako, utakaa navyo hadi lini bila kuvitumia ilhali wengi ni wahitaji? Huwaoni hata hapo jirani kwako? Compassion yako iko wapi?
 
Hapo Dodoma wagogo kibao kutoka bahi hawana nguo wagawie tu hata wale wanchemba unaweza kuwapeleka
Other option ukienda likizo hapo kwetu Butimba zibebe tutazigawa kwa wahitaji wapi wengi tu
Kuna siku dada mmoja alikuja saloon ana Mtoto mchanga hana babyshow, afu kuna kibaridi nikaenda ndani nkachukua babyshow ya mwanagu nikampa akaishia tu kusema babyshow nyepesi....
Huwa najishtukia kumpa mtu nguo wengine wanadharau used
 
Ni mzima tu. Vitu ni vyako, utakaa navyo hadi lini bila kuvitumia ilhali wengi ni wahitaji? Huwaoni hata hapo jirani kwako? Compassion yako iko wapi?
Hujawahi kuona watu wanadharau nguo zilizovaliwa, nlikua sijawaza vituo vya yatima huko nitazipeleka ila mtu ninja mmoja kumpa najishtukia labda aombe
 
Sasa nimekuelewa vizuri na unachokusudia, sasa naomba ukitekeleze vuzuri, wape wahitaji na utapata mibaraka tele toka kwa Mungu.
 
Kuna siku dada mmoja alikuja saloon ana Mtoto mchanga hana babyshow, afu kuna kibaridi nikaenda ndani nkachukua babyshow ya mwanagu nikampa akaishia tu kusema babyshow nyepesi....
Huwa najishtukia kumpa mtu nguo wengine wanadharau used
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huyo dada kiboko, nyepesi wakati imemshinda kununua, kiukweli kuna watu hawanaga shukrani

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom