funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,649
- 21,523
jifunze kusaidia wasiojiweza kuna vituo kibao vya yatima wana huitaji mkubwa wa nguo. Mie mpaka TV nikiichoka uwa napeleka kwa yatima uwa narudishiwa Zaidi kwa kufanya hivyo. Kuna gari ninalo hapa nimeliweka sokoni naona watu wanataka kunilalia nadhani nalo nitalipeleka kwa yatima liwasaidie hata kuwakimbiza hospitalini wakati wa dharulaHata mi huwa najiuliza sijui nizifanyeje, zipo nyingi sana.