Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!

Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..

Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..

Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...

Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.

Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!

Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!

Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!

Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!

Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu.. Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
....Vita huanza Kwa Ujinga kama huu wa Kuuza Nchi!
 
Hakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.

Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.

Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.
Wewe ni Mmojawapo wa Serikali
Chunga...
 
Umeandika ujinga. Wamasai ndo walikua wanatishia uhai wa Ngorongoro. Walianza kukata miti, kuharibu vyanzo vya maji na kuua wanyama. Isitoshe walialikana marlfu kwa maelfu wakahamia Ngorongoro.

Serikali iko sahihi kwa hili.
...Jaribu kuona Aibu kidogo. Ni Watanzania Wenzako Wanaofamyiwa Ujinga huu....!
 
Zile nyumba za Handeni serikali haina ubavu wa kuzijenga
Hizo ni hela za wenyewe kama makubaliano tu

Kama walishindwa kuweka mipaka baina ya Mkulima na Mfugaji mbona wameweza kuweka sasa kwa ajili yao?
Hizo pia sio hela zetu za walipa kodi bali wametoa wao

Huu udhallili ndio umetufikisha hapa

Na hao viongozi wa Upinzani waliokuwa wanapiga kelele kumbe ni haya haya ili kuzibwa midomo?

Mmoja kutoka kuikosoa mpaka kuisifia ooh nashukuru nimepata stahiki zangu

Mwingine nae kutoka jela tu na hakuna kupinda tena ni kwenye line tu
Acha twende kwa PaKa
IMG_6947.jpg

IMG_6948.jpg
 
View attachment 2257338
View attachment 2257339
Zile nyumba za Handeni serikali haina ubavu wa kuzijenga
Hizo ni hela za wenyewe kama makubaliano tu
 
Hakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.

Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.

Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.
Wewe ni mpuuzi
 
Justification of what will be brutal eviction..

Baadaye Utasikia Rasmi Mipaka Inabadilishwa Ngorongoro Inajitenga Na Kuwa Jamhuri

Maccm yote machafu. Likiwa lina afadhali nyuma basi mbele lichafu
Kuanzia Nyerere na ujamaa wake mpaka successors wake wote ni majizi ya nchi na mavurugaji.
Taja asset moja tu ya nchi hii alio iba Nyerere. Pamoja na madhaifu yake mengi, Nyerere hakuwahi iba mali ya taifa. Umetoa mjumuisho usio sahihi.
 
Back
Top Bottom