MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,535
- 21,846
KINANA
Naomba nisizungumzie mnunuzi kwakuwa hilo neno halipo kwenye mada yangu hii bali unaweza kunisaidia kuyajibu haya"TANZANIA INALINDA MAENEO YA KITALII YANAYOZIDI KUELEMEWA NA IDADI KUBWA YA WANANCHI NA KUKALIWA HIVYO KUTISHIA EXISTENCE YA HIFADHI ZETU"
Wakati mwingine kutumia nguvu kidogo ni muhimu serekali imewapenda mpaka inawajengea nyumba na handeni inamandhari nzuri sana hasa kwa mifugo yao serikali imeapenda sana lakini wamekuwa wakaidi huku chadomo wakijipatia #kiki katika suala hili.
#MASAI_MUST_MOVEOUT_PEACEFUL
#Mshana_jr Tujuze zaidi kwa mnunuaji umjuaye.....

Ndiyo sasa mfahamu mna serekali makini na inayojali inaona tatizo na inajitahdi kulitatua kwa faida ya wanyama wetu na vizazi vijavyo...Naomba nisizungumzie mnunuzi kwakuwa hilo neno halipo kwenye mada yangu hii bali unaweza kunisaidia kuyajibu haya
*Ni nani alifadhili mchakato wa Environment Impact Survey ya Wamasai kuharibu mbuga ya Ngorongoro?
*Ni nani alifadhili utafutaji na ununuaji wa eneo la Handeni Tanga ili Wamasai wa Ngorongoro wahamishiwe huko?
*Ni nani alifadhili ujenzi wa nyumba na miundombinu ya Handeni?
*Ni nani alifadhili fidia malipo na bakshish ya waliokubali kuhama?
Serikali huwa na bajeti yake ya mwaka na kila pesa hupitia bungeni je hili lilifanyika? Kama LA je ni nani yuko nyuma ya haya yote?![]()
kiongozi mwingine anakufukuza anakubomolea na hana habari na wewe tena! #MASAI_MUST_MOVEOUT_PEACEFUL
Upareni WAP tena mbona tunatishanaNyoko zako ww fala! Alikwambia utamkumbukaa shwain..na sasa imeanza kwa wamasai yenu kule upareni inakuja subir tu?! C ulishangalia kifo cha JPM..bora ufe kuliko kuteseka ndani ya nchi yako..sasa inaanza kula taratibu..yalianza mafuta...ikaja nauli...subir yanakuja mengine!
Women are always weak...weak..weak indeed! 10 years will be counted as 100years! The worst is yet to come!
Toa hoja amechemka kitu gani siyo unalalamika bila hoja ya kueleweka. Jibu maswali yake hapo juu kuhusu fedha ilipitia bunge gani kuhamisha wamasai!!Ukiwa mtu mzima afu unaanzi nyuzi za kipumbuvu inakera.
Hawa watanzania ninao wajua ?Kuna siku ambayo wananchi tutaamua kufanya yetu na hiyo ndio siku ambayo kila aliyewahi fanya maasi dhidi ya wananchi atakatwa kichwa la sivyo akimbie hii nchi. Mmetushika vichwa tumewaacha naona wanataka kutushika na nyeti.
Na wakimaliza hapo wanahamia bagamoyo , twende taratibu , si ndo uongozi mliokuwa mnaulilia , baada ya hapo wanahamia Mlima mlima kilimanjaro...mpak barabara atapewa mwekezaji , ni swala la mda tuuDeal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!
Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..
Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..
Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...
Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.
Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!
Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!
Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!
Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!
Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu..Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
![]()
Naona umekwepa kujibu maswali yangu na kuchomekea kitu kingine, Rejea kwenye hoja husika tafadhali ili kuonesha weledi na ukomavuNdiyo sasa mfahamu mna serekali makini na inayojali inaona tatizo na inajitahdi kulitatua kwa faida ya wanyama wetu na vizazi vijavyo...
Wote ni wale wale kwani ya Chato huyajui ama unataka kuyapotezea?Na wakimaliza hapo wanahamia bagamoyo , twende taratibu , si ndo uongozi mliokuwa mnaulilia , baada ya hapo wanahamia Mlima mlima kilimanjaro...mpak barabara atapewa mwekezaji , ni swala la mda tuu
Linaendelea mkuu.Mkuu hilo jina lako linaishia hapo hapo abdulrahman au linaendelea kwa mbele?
Nimetokwa machozi mimiDeal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!
Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..
Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..
Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...
Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.
Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!
Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!
Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!
Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!
Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu..Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
![]()
Yapo mambo kwa akili ndogo tu ya kiuanadamu unaona kabisa hili silo, unaona kabisa watu wanachota mchanga kwenye kingo za daraja unangoja utafiti kwanza ufanyike badala ya kuwaondoa haraka"Naona umekwepa kujibu maswali yangu na kuchomekea kitu kingine, Rejea kwenye hoja husika tafadhali ili kuonesha weledi na ukomavu
Masikini mzee wa watu dahh!!! Hii nchi unaweza kutamani kuhama nivile no way tu!