Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Tuwe wakweli na wazalendo. Kama ilivyokuwa kwa ujenzi wa mradi wa Stieglers vivyo hivyo kwa Ngorongoro. Ngorongoro ilihitaji maamuzi magumu vinginevyo tukubali tu siyo hifadhi tena.

Nje ya hapo huwezi kusema kijiji ni hifadhi
 
Uhifadhi sio tatizo. Swali ni je, watu wanahamishwa na kupigwa ili eneo apewe muwekezaji..????
 
Picha hizi zina uhalisia? Zisije kuwa ni picha za mgogoro wa wakulima na wafugaji.
Tudanganye ili tupate nini ndugu yangu?
JF sasa hivi ina kitu kinaitwa fact checking kwahiyo kuwa na amani na hizi picha
 
Majaliwa tangu atudanganye jiwe linatusalimu na ni lizima la afya kumbe limefia pale mzena BASI KUMUAMINI HAIWEZEKANI. Ccm imeuza nchi na kweli jiwe tunalikumbuka japo sasa ni fuvu pale chato. Ila jiwe liliua watu sana japo tunalikumbuka.
Maccm yote machafu. Likiwa lina afadhali nyuma basi mbele lichafu 😬
Kuanzia Nyerere na ujamaa wake mpaka successors wake wote ni majizi ya nchi na mavurugaji.
 
Maccm yote machafu. Likiwa lina afadhali nyuma basi mbele lichafu
Kuanzia Nyerere na ujamaa wake mpaka successors wake wote ni majizi ya nchi na mavurugaji.
Screenshot_20220610-185721.jpg
 
Back
Top Bottom