Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Taja asset moja tu ya nchi hii alio iba Nyerere. Pamoja na madhaifu yake mengi, Nyerere hakuwahi iba mali ya taifa. Umetoa mjumuisho usio sahihi.
Hakuiba ila aliingiza taifa chaka kwenye mambo mengi kwa ubishi na kufikiria kwa niaba ya watu wote.
 
Tusisahau chanzo cha haya yote ni overpopulation huko Ngorongoro
 
Kwa kweli this is sad, Hivi ni lazima nchi iliyojaliwa Resources kibao kung'an'ania hio hifadhi? labda ni kweli hifadhi ina potential ya kugenerate income kwa Watanzania, but not kwa gharama ya Maisha ya watanzania wengine... ni busara tu ilitakiwa itumike hapo, Kama wamekataa kuhama tafuta sehemu nyingine unayoweza kuinvest kama serikali, mbona simple!
Mhhhh. Itakuwa serikali gani ambayo inapingwa na kikundi kidogo cha watu wakati ukweli ni kwamba waliporuhusiwa kuishi katika hifadhi hiyo walikuwa wachache sana. Sasa wameongezeka na wengine wamejipenyeza toka nchi jirani. Hakuna namna lazima waondoke wakipinga wapigwe tu.
 
Naomba nisizungumzie mnunuzi kwakuwa hilo neno halipo kwenye mada yangu hii bali unaweza kunisaidia kuyajibu haya

*Ni nani alifadhili mchakato wa Environment Impact Survey ya Wamasai kuharibu mbuga ya Ngorongoro?

*Ni nani alifadhili utafutaji na ununuaji wa eneo la Handeni Tanga ili Wamasai wa Ngorongoro wahamishiwe huko?

*Ni nani alifadhili ujenzi wa nyumba na miundombinu ya Handeni?

*Ni nani alifadhili fidia malipo na bakshish ya waliokubali kuhama?

Serikali huwa na bajeti yake ya mwaka na kila pesa hupitia bungeni je hili lilifanyika? Kama LA je ni nani yuko nyuma ya haya yote?
Serikali hutenga fungu la dharura katika bajeti yake yaani "contigence" hilo ndio lilitumika.
 
Serikali yaawamu ya 6 IPO IMARA na kamwe haito yumba wala kuyumbishwa na maigizo ya wahuni wachache amabo wanakesha kuloga ili anguko la awamu hii litokee.
thubutu!! wataanguka wachawi wote lkn sio awamu hii ya 6.
 
Asili ndio kila kitu
Mila
Desturi
Historia
Tamaduni
Mizizi
Vizazi
Urithi
Wewe unaishi mizizi yako ilipo? Mila yako ilipo? Tamaduni zako zilipo?

Hakuna nchi ambayo watu hawahamishwi

Tuache ushabiki mandazi

Hata kule kwetu ikoma… ya 1967 siyo ya leo
 
Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!

Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..

Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..

Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...

Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.

Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!

Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!

Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!

Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!

Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu.. Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
Okay kumbeee eeh
 
Back
Top Bottom