Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,476
- 6,183
Kituo kinachofuata. Wachaga wote peleka Ethiopia maana wanavuta hewa nyingi inaharibu barafu ya Kilimanjaro, baadaye tumuuzie mjerumani mlima maana hakuna namna sasa.
Masai anaviziwa kupigwa mtama![emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hiyo ni dharura kwa sababu haikuwemo katika bajeti ya mwaka.Usipotoshe ukweli kuna dharura gani kwenye swala la Ngorongoro? Pesa ya dharura ni kwa ajili ya majanga kama mioto mikubwa, mafuriko, baa la njaa magonjwa ya mlipuko nk