Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Ngorongoro ilishachukuliwa kitambo...

Hakuna picha kidogo kiichotokana na Risasi hapo hata kimoja, Inaonesha ni sime, na ni wao kwa wao. Hizi chuki za kijinga hazisaidii. Serikali iendelee kuhifadhi hiyo mbuga, na naunga mkono KICHAPO KWA HAO WALUGALUGA.
Hakuna mtu mwenye hatimiliki ya ardhi, serikali inataka kufanya jambo kwa manufaa ya umma na tuiache.

Tulilalamika sana wakati nyumba zinabomolewa kule Mbezi enzi za Magu lkn leo tunafurahia barabara nzuri na zenye uhakika.

Well done Serikali, ikiwezekana kichapo kiendane na kubomoa vibanda vyao.
Uwe na aibu kidogo.
 
ndani ya hifadhi ya ngorongoro kuna makaburi ya halaiki.
makaburi hayo ni ya vita kati ya wamasai na kabila lingine ambao walipigana sana huko kipindi cha nyuma..wakigombea ardhi hiyo
sasa naona yanataka kurudi
 
Bado mtalikumbukaa tu..shwain nyie..jiwe alikuwa anachabanga hayaa mafidai..hakuwa na neno na wananchi wakawaida wanaojitafutia ridhiki zao kwa haki...sasa ww chakubanga ulikuwa unapiga kelele fisadi na papet wa mabeberu kuchabangwaa...imekula kwako..shwain
limebaki fuvu pale chato.
 
Picha zinatisha wazee. ina maana Samia na Majaliwa wamelala burdani kabisa
 
Umeandika ujinga. Wamasai ndo walikua wanatishia uhai wa Ngorongoro. Walianza kukata miti, kuharibu vyanzo vya maji na kuua wanyama. Isitoshe walialikana marlfu kwa maelfu wakahamia Ngorongoro.

Serikali iko sahihi kwa hili.
 
Kwa kweli this is sad, Hivi ni lazima nchi iliyojaliwa Resources kibao kung'an'ania hio hifadhi? labda ni kweli hifadhi ina potential ya kugenerate income kwa Watanzania, but not kwa gharama ya Maisha ya watanzania wengine... ni busara tu ilitakiwa itumike hapo, Kama wamekataa kuhama tafuta sehemu nyingine unayoweza kuinvest kama serikali, mbona simple!
 
Deal done..!
Mark my words!
Hizi za sasa ni purukushani za muda tu na kelele za chura zisizo mzuia tembo kunywa maji..!
Ngorongoro is no longer ours..and maybe be it will never be ours again ..! Nani anakumbuka ya Loliondo? Pamoja na kelele zote zile haikuwahi kurudi kwetu...!

Siku ile pm alipoenda Arusha na ile list ndefu ya Wamasai waliokubali kuhamia ugenini huko Handeni Tanga... Ndio ilikuwa hitimisho la kuiaga Ngorongoro..

Ule mkutano
Zile picha
Yale majina
Zile video
Vyote vimechukuliwa na kuhifadhiwa vizuri kwamba kila kitu kilifanyika kwa kuzingatia haki za binadamu, matakwa ya kisheria nknk..

Hawa waliopelekewa moto leo wanahesabika kama wavamizi na ndio maana jeshi la polisi lilienda kule.. Na trust me kile kilichifanyika asubuhi ya leo ni salam tuu.. Ile ni kifungua kinywa tuu.. Full menu ya bufee itawaendea usiku kukiwa kuna kiza kinene. Hapo ndio shetani atasimamia ukucha...

Kesho yaweza kuwa siku ya kuokota mizoga, majeruhi vituo vya afya, watuhumiwa kwenye selo za polisi, na matukio ya watu kupotea huko Ngorongoro national park.

Kwa wiki chache zijazo safisha safisha itaendelea kuondoa masalia yote ya kitu kinachoitwa Wamasai wa Ngorongoro wavamizi.. Tutawekwa busy na unit za umeme kupaa, kesi za sabaya na drama zingine zote..!

Itakapofika 30/6 ndio itakuwa mwisho wa kuiona Ngorongoro uliyozoea kuiona japo kwa picha tangu ukiwa mdogo.. Kama una picha zake ama ulibahatika kufika kule na kupata kumbukumbu kadhaa..ZIHIFADHI VEMA..Hiyo bahati haipo tena!

Hakuna picha zake zitapatikana tena huko kwa uhuru na kujiachia, hakuna selfies tena za mbuga yetu ile urithi wetu...picha zitapigwa na watu maalum..! Na kwa sababu maalum...!

Na wazawa watakaoruhusiwa kuingia kule ama ni mamluki ama ni wafanyakazi wasio huru,.. Itakuwa ni kama watumwa katika nchi yao wenyewe!

Tusitaharuki zaidi, tusilie, bali tuanue tanga.. Msiba ulishaisha kwasasa tusubiri kusomwa historia ya marehemu.. Tukipata wasaa tutawasimulia wana wetu picnic, na study tour za kishule wakati pale pakiwa kwetu..
Mnakumbuka miaka ya tisini ile Loliondo Gate!
 
Umeandika ujinga. Wamasai ndo walikua wanatishia uhai wa Ngorongoro. Walianza kukata miti, kuharibu vyanzo vya maji na kuua wanyama. Isitoshe walialikana marlfu kwa maelfu wakahamia Ngorongoro.

Serikali iko sahihi kwa hili.
Mkuu hilo jina lako linaishia hapo hapo abdulrahman au linaendelea kwa mbele?
 
nchi ya hovyo Sana hii ,kila kukicha afadhali ya Jana,bila shaka hii ni kazi ya mafisi ya ccm
 
Back
Top Bottom