KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 232
Mambo ya Kamlete haya leo nimeambiwa nichague kati ya National Auditing Office, TRA, NSSF, na BIMA
Please naombeni ushauri na Salary figures kwa kima cha chini.
Karibu!
Mbna amesahau kukwambia Ofisi za bunge na Ikulu,TPA,Primefuel na BP
sasa siumuulize huyo aliye kuhaidi kukupeleka kwenye kazi???Mambo ya Kamlete haya leo nimeambiwa nichague kati ya National Auditing Office, TRA, NSSF, na BIMA
Nina Degree ya Kwanza Katika Accounting and Finance (BAF)
Please naombeni ushauri na Salary figures kwa kima cha chini kwa mimi ninayeanza kazi
Karibu!
sasa siumuulize huyo aliye kuhaidi kukupeleka kwenye kazi???
utoto raha sana jamani :majani7::majani7::majani7:
Nyie ndo mnakuwa mizigo kazini, sabab ya kupelekwa hukuomba Kazi umepelekwa tu..eti nimeambiwa nichague ujue watu humu wanasifa za kufanya kazi huzo wanatafuta hawapati we unakuja na utoto wako humu ndani...p.mba.f kabisa!
Nyie ndo mnakuwa mizigo kazini, sabab ya kupelekwa hukuomba Kazi umepelekwa tu..eti nimeambiwa nichague ujue watu humu wanasifa za kufanya kazi huzo wanatafuta hawapati we unakuja na utoto wako humu ndani...p.mba.f kabisa!
Tupo wengi tusio na ajira
Kwa wale wanaotafuta kazi
Kuna hii android app, ina latest jobs in Tanzania.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.grabcityinfo.grabjob
Share na mwezako.
Nenda tra best huko mishe nyingi hutotegemea mshahara tu. Mnaoponda na kukejeli nyie ikitokea mtu kawaambia awape kazi kwa mlango wa uani mtakataa? Acheni hizo banah hii nchi ishakua ya hovyo haina budi kukubaliana na hali
mkuu si kila mtu anafaa kusaidia ... kama huyu anaropoka tu hajui impat yake baadae..... hajui anaweza kufuatiliwa na akapigwa china vile vileBro..hivi unajua kuwa umeharibu reputation ya hizo taasisi ulizo zitaja..!??