kila taasisi ina scale zake mkuu, hakuna scale general kwa taasisi zote za umma.
mfano kuna scales kama TGS, PHTS, PUTS, PTSS, PGSS, PRSS na itakua tofauti kutegemea na taasisi husika.
mfano PRSS 3 = NIP 15, scale ya PRSS inatumiwa kwenye taasisi za umma kama NATIONAL INSTITUTE FOR PRODUCTIVITY (NIP), TAEC etc.
sasa kwa swali lako hii scale kwa mujibu wa tume ya ajira inatumiwa na TANROADS, ni entry level ya Civil Engineer grade II, ni kama 1.5M basic salary.

Hebu nipe na salary scale 4.1 inayotumiwa na hawa jamaa wa TANROAD/
unaona utamu kupewa information tafuta na wewe
kila taasisi ina scale zake mkuu, hakuna scale general kwa taasisi zote za umma.
mfano kuna scales kama TGS, PHTS, PUTS, PTSS, PGSS, PRSS na itakua tofauti kutegemea na taasisi husika.
mfano PRSS 3 = NIP 15, scale ya PRSS inatumiwa kwenye taasisi za umma kama NATIONAL INSTITUTE FOR PRODUCTIVITY (NIP), TAEC etc.
sasa kwa swali lako hii scale kwa mujibu wa tume ya ajira inatumiwa na TANROADS, ni entry level ya Civil Engineer grade II, ni kama 1.5M basic salary.
ualimu na unesi ni wito,,,

Bakuza hembu mgongee like mshkaji atakuja kukusaidia....hivi vingine ni shukrani tu mkubwa!! etlist hata aone notification kwani wengi wetu tukishajibu post huwa haturudi tena kuangalia. Do that plzz
hii ni kwa wale Technicians wa Tanroads, ina range kati ya laki 7 hadi 9 mkuuHebu nipe na salary scale 4.1 inayotumiwa na hawa jamaa wa TANROAD/
Nyambafu?
Ukiwa kwenye hii fani unatakiwa uwe na roho ngumu ka mwendawazimu.
mkuu kwani mwenye degree anapoanza si anakuwa daraja fulani ambalo mshahara wake unajulikana?By The PriestMshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.
Wacha kutudanganya wewe, Polisi wanalipwa kutokana na vyeo vyao na sio degree wala certificate. Mfano Ukiwa na mbavu mbili unaitwa Koplo hapo mshahara wako unakua tofauti na siye na mbavu, hali kadhalika mwenye mbavu tatu na kuendelea. ukiwa na nyota pia unakua na mshahara tofauti na mwenye mbavu
take home ni 347,000/== mshahara wa ajabu sana huu, kuna siku kidogo nigome kuuchkua, nikakaaaa nikawaza kwa kina nikaamua kuachana na hii job maana mazingira magumu, hakua overtime yenye malipo, full frustration yaani ukienda kule na knowledge yako lazima ita-expire within short time.....
mkuu kwani mwenye degree anapoanza si anakuwa daraja fulani ambalo mshahara wake unajulikana?