Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

Nenda kwenye page ya VOA straight talk afrika.

Kiufupi Lisu hana jipya ila Lumumba kamfunda, akifanyia kazi atafika mbali
Lumumba yupo Kenya. DP Ruto ni tishio. Rushwa kila sehemu. Yy amefanya nn Kenya
 
Bavicha tumeni clip ndogi ndogo muone tofauti ya profesa na mwanasheria msomi ,profesa kamnyoosha MTU huko analalamika kama yatima
 
Kama mnategemea star tv kurusha live huu mpambano mnajidanganya, TL akianza kumpiga spana marehem star tv watachomekea tangazo la biashara au tanesco wanafanya wao..

Star TV walikuwa na hayati akitoa yake ya moyoni kuhusiana na yale mambo yetu ya korosho basically kedekede kwa waziri mpendwa tamisemi Jaffo.

Kweli kila zama na kitabu chake.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Bavicha tumeni clip ndogi ndogo muone tofauti ya profesa na mwanasheria msomi ,profesa kamnyoosha MTU huko analalamika kama yatima

Clip za nini? Kwani Star TV walithubutu kurusha?

Yaonesha waliona Prof atamnyoosha mtu.


Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…