Kwani umeelewa kilicho zungumzwa hapo?? 🤔 🤔Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
Ila babu yako msiba wake unasubiriwa kwa hamu kama matokeo ya necta 😅Babu yangu Netanyau hata akifa kwa mafua, lazima makobaz wapite na habari kuwa wao ndo wamemuua 😂
Ngoja wazee wa kuhesabu vidole waje wakanushe kwanzaWaziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote
View: https://x.com/netanyahu/status/2033190035764232360?s=46
View: https://x.com/netanyahu/status/2033214114957291955?s=46
Utakuwa labda mzimu wakeWaarabu wa buza kwa mparange si tumeshamuua huyu?
Kila mtu atakata moto kwa wakati wake, babu yangu nae kupita hivi n suala la muda tuu 😂Ila babu yako msiba wake unasubiriwa kwa hamu kama matokeo ya necta 😅
Kitendo Cha kuonekana hadharani akiwa mzima wa Afya ni msiba mwingine Kwa Iran na Kwa waarabu KokoIla babu yako msiba wake unasubiriwa kwa hamu kama matokeo ya necta 😅
Pole sana mkuuCan be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
Pole kamzikeni kwanza AyatollahI think it is AI shit
Amewaonyesha vidole wahesabuBibi anazidi kuwavuruga wavaa kobasi tu huko 😀
Wazee wa kuhesabu vidole waje.Baada ya kipondo cha funga mwezi Feb 28,2026 .maadui zetu sasa hivi wanaweweseka na kuropoka maneno kama vichaa kwa kudai mimi nimekufa kwa mashambulio ya Iran hawakuishia hapo wakadai hotuba niliyoitoa ni AI maana nilikuwa na vidole sita kitu ambacho wajinga pekee wanaweza kukiamini.
Napenda kuufahamisha ulimwengu kuwa mimi ni mzima nakunywa kahawa na vidole vyangu vitano kwa mkono wa kulia na wa kushoto kama mnavyoniona.
Adui zetu silaha yao kubwa ni Uongo na Upotoshaji-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!! Taarifa hii waione wafuatao;
Adiosamigo gTurn gallow bird zitto junior na wote wanao omboleza kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei
Babu yako hata daktari akisahau kumuwekea drip akafariki ni ushindi kwetu 😂Kila mtu atakata moto kwa wakati wake, babu yangu nae kupita hivi n suala la muda tuu 😂
Atakufa Kwa wakati wake sio Kwa mizinga ya IranBabu yako hata daktari akisahau kumuwekea drip akafariki ni ushindi kwetu 😂