Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,279
Reaction score
13,707
Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
 
Kwani umeelewa kilicho zungumzwa hapo?? 🤔 🤔
 
Baada ya kipondo cha funga mwezi Feb 28,2026 .maadui zetu sasa hivi wanaweweseka na kuropoka maneno kama vichaa kwa kudai mimi nimekufa kwa mashambulio ya Iran hawakuishia hapo wakadai hotuba niliyoitoa ni AI maana nilikuwa na vidole sita kitu ambacho wajinga pekee wanaweza kukiamini.

Napenda kuufahamisha ulimwengu kuwa mimi ni mzima nakunywa kahawa na vidole vyangu vitano kwa mkono wa kulia na wa kushoto kama mnavyoniona.

Adui zetu silaha yao kubwa ni Uongo na Upotoshaji-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!! Taarifa hii waione wafuatao;
Adiosamigo gTurn gallow bird zitto junior na wote wanao omboleza kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kama vile kimsboy na Mme wake!!
 
Attachments

  • 🇮🇱_BIBI_IS_ALIVE_They_said_he_was_dead,_but_then_rose_after_3_days.mp4
    8.1 MB
Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
Pole sana mkuu
Rudia Tena kuangalia hiyo video

Hicho unachosubiria utakufa na stress
 
1)Exercise Regularly
Even 20–30 minutes of movement daily can boost blood circulation .....Exercise helps your blood vessels stay flexible and improves heart pumping.
2)Eat Blood-Flow Friendly Foods
Certain foods help open blood vessels and improve circulation: Examples are
Leafy greens
Garlic
Berries
Fatty fish rich in Omega-3
Watermelon..
These foods can help improve blood flow it contains nitric oxide which relaxes blood vessels.
3) Manage Stress properly
 
Baada ya kipondo cha funga mwezi Feb 28,2026 .maadui zetu sasa hivi wanaweweseka na kuropoka maneno kama vichaa kwa kudai mimi nimekufa kwa mashambulio ya Iran hawakuishia hapo wakadai hotuba niliyoitoa ni AI maana nilikuwa na vidole sita kitu ambacho wajinga pekee wanaweza kukiamini.

Napenda kuufahamisha ulimwengu kuwa mimi ni mzima nakunywa kahawa na vidole vyangu vitano kwa mkono wa kulia na wa kushoto kama mnavyoniona.

Adui zetu silaha yao kubwa ni Uongo na Upotoshaji-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!! Taarifa hii waione wafuatao;
Adiosamigo gTurn gallow bird zitto junior na wote wanao omboleza kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei
Wazee wa kuhesabu vidole waje.
Wanajidai wanaujua Ai kuliko waliotengeneza Ai
 
Back
Top Bottom