Duh!Ni kinyume cha Amiri yaani mwanaume anaitwa Amiri halafu mwanamke anaitwa Amirat kwa maana ya kiongozi mkuu! asili yake ni Arabuni na kama unavojua Kiswahili na kiarabu ni baba mmoja.
Weeeee !!! ni kweli amarata ni vitu vya juu , yaani mabati , na ni kweli kiongozi pia ni mtu wa juuAsili ya neno AMIRAT ni huko Mbeya wilaya ya Rungwe (,zamani Tukuyu). Amirat limetoholewa toka neno la kinyakyusa "Amarata" japo maana yake mm siifahamu.
Ulitaka na wewe uitwe Binti ?Waarabu wanabagua sana wanawake. Wajifunze kutoka nchi nyingine, wanawake wapewe vipaumbele katika jambo.
Nimesikia kuna baadhi ya nchi za kiarabu wanawake hawaruhusiwi hata kuendesha gari.
Sass kama hawaruhisiwi, sidhani kama wanaruhusiwa hata kushika nyazifa za kijeshi. Je iweje Amiri, neno la Kiarabu, kiwe na kinyume chake, Amirati?
Hata kwetu uchagani watoto wa kike hawapewi kipaumbele wala urithi. Hivyo nimeamua kuwa mmoja wa wale wanawapa watoto wote haki sawa. Awenwa kiume au wa kike, wote ni wanangu watapewa haki sawa. .
Ningemjua aliyewapa jina la nyumbu ningempiga ofa ya kunywa na kula mpaka mwenyewe aseme basi ametosha 😄😄Eti nao wanataka kwenda ikulu kwa kutafuta vijimambo vidogo vidogo visivyo na tija!
Wa jinsia ya kike.Ni neno la Kiarabu hilo. AMIRAT likiwa na maana Kiongozi au Kamanda.
Wapi wewe 🤡 lugha gani hii ?Weeeee !!! ni kweli amarata ni vitu vya juu , yaani mabati , na ni kweli kiongozi pia ni mtu wa juu
Hakika kabisa!Ningemjua aliyewapa jina la nyumbu ningempiga ofa ya kunywa na kula mpaka mwenyewe aseme basi ametosha 😄😄
Katika Falme za Kiarabu kuna cheo cha 'Amir' wakimaanisha Kamanda, kiongozi wa kiume (Prince), sasa wengine wakaona akiwa wa kike anaweza kuitwa 'Amirat'. Lakini huyu wa kwetu siyo 'Amir' bali ni Amiri Jeshi Mkuu' (Commander -in-Chief), haijalishi awe 'me' au 'ke'..!Yamebainika mengi sana leo , kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5 .
Tusirudie yaliyosemwa , bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu .
Kiongozi wa diniNi neno la Kiarabu hilo. AMIRAT likiwa na maana Kiongozi au Kamanda.
Nimekukosea nini mpaka unanitusi bro? Behind a keyboard insulting others makes you feel like a big man au sio?Ulitaka na wewe uitwe Binti ?
DPW.Yamebainika mengi sana leo , kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5 .
Tusirudie yaliyosemwa , bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu .
Ungekuwa na akili ungejua kuwa nilicho kusudia ni kukuonesha utofauti kati ya jinsia ya kiume na kike kwa majina ila kwa sababu huna huwezi kuelewa.Nimekukosea nini mpaka unanitusi bro? Behind a keyboard insulting others makes you feel like a big man au sio?
Huna hoja mpaka unitusi, angali atulingani umri naweza hata kuwa baba yako au hata baba yako mdogo.
Huu mwezi wa toba, kwa nini unakuwa unapenda kuishi katika dhambi? Na wengine unataka wawe katika njia hiyo hiyo.
Very sad. This is a free forum kila mtu anaweza kuchangia mawazo yake. Hatuwezi fikiria sawa ila sioni sababu ya kuwadhiaki wengine.
Disappointed.
Jeshi la Tanzania halina jinsia ya kiume wala ya kike. Wote ni askari au afisa na haya kashayasema sana mstaafu mabeyo. Hakuna umoja wa kinababa au kinamama jeshini, unafeli wapi?Ungekuwa na akili ungejua kuwa nilicho kusudia ni kukuonesha utofauti kati ya jinsia ya kiume na kike kwa majina ila kwa sababu huna huwezi kuelewa.