Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,015
Kwahiyo tutapata wapi watu wapiga? Maana waliomtaani ndo wana njaa ya kufaIkiwa hawana njaa basi hawaitaji tena pesa? Hujui wemye pesa huwa ndio wanataka zaidi pesa
Kwahiyo tutapata wapi watu wapiga? Maana waliomtaani ndo wana njaa ya kufaIkiwa hawana njaa basi hawaitaji tena pesa? Hujui wemye pesa huwa ndio wanataka zaidi pesa
😍Hizo financial statements zina nini cha ajabu?
Nimekuuliza Nehemia ameikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni kiasi gani?
Unatufanya sie wajinga sio? Sote tunajua hali ya NHC kipindi Nehemia anaingia ilikuwaje na sote tunajua yeye ndo at least alianza kufanya miradi mipya.
Chuki zenu za kutaka kuweka watu wenu National Housing mkamtengenezea zengwe na kumuondoa Ila hamkuwahi kupata ushahidi dhidi yake kumpeleka mahakamani!
Hakuna kipindi uchumi wa nchi hii ulikwenda vizuri Kama kipindi cha JK. Na ndo mana hata sie kuingia katika uchumi wa kati kipindi cha Magufuli ilitokana na strong performance ya uchumi kipindi cha JK.
Muacheni JK apumzike, chuki zenu dhidi yake hazitawafikisha popote!
Samia ndo Rais, vyombo ni vyake na ana uwezo ya kufanya vetting na kupata ukweli wa mtu yeyote nchi hii. Anafanya maamuzi Kwa utashi wake na Kama anavyoshauriwa na vyombo vyake!
Kumsingizia JK kuendesha serikali ya Samia ni wivu na chuki zenu dhidi ya Samia na JK ndo zinawasababisha mfanye hayo!
Yaani pori ni lile lile ,na ngedere ni wale wale,hawataki kutoa nafasi kwa wengineTupambane jamani
Watu wanarudi wale wale kama vile watu hawapo
Sasa watu kama wamekaa wakakubaliana wahamishe Hela kutokea Serikalini kupeleka huko,cha msingi uliza ameacha shirika katika hali gani.Nehemia aliikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni yalikuwaje? Miradi ili kuwepo? Jibu hili swali!
Kuna mtu aliyeifufua NHC angalau ikaanza kuonekana Kama Nehemia??
Nehemia alikuwa CBA BANK na kipindi chake ndo ilifanya vizuri sana mpaka serikali wakaamua kumchukua! Ameondoka CBA Leo unaisikia tena kama kipindi chake?
Magufuli alikuwa anaongozwa na chuki dhidi ya watu ilo linajulikana! Hakukuwa na Logic yeyote kumtoa Nehemia.
Sehemu zote alizotia mkono zimekufa! Leo hii UDART Mwendokasi imekufa Kwa sababu ya yeye Magufuli kuingilia, aliingilia Sukari ikapanda bei Hadi Leo!
Utawala wa Kikwete ulikuwa na mapungufu yake LAKINI utawala wa Magufuli ulikuwa hovyo kupindukia. Ndiyo utawala ulioiondoa Tanzania kuweza kuingia kwenye uchumi wa gas.Jakaya alifika pazuri wapi? Pa kuiba hela za umma? Wewe una akili kweli?
Wanalipwa pale wanapofanya kikao Cha bodi....ndo maana huwa wanafanya vikao kibao ili wajipe mihela kibao...maana nahisi hata posho ya kikao huwa wanapanga wenyeweHivi wajumbe wa bodi wanalipwa mshahara kila mwezi au hua inakuaje?
Kamuulize Prof Assad au kamfate kiongozi wa malaika anajua alikozipeleka..Hizo trillions ziko wapi na ww umekuwa swept na habari za vijiweni!!
Mkuu, shida moja ya JF ni kwamba unaweza kujadiliana na mtu yeyote kwenye jambo lolote hata ambalo hana ufahamu nalo kwa undani, hiki ndio nachokiona kwako.Utawala wa Kikwete ulikuwa na mapungufu yake LAKINI utawala wa Magufuli ulikuwa hovyo kupindukia. Ndiyo utawala ulioiondoa Tanzania kuweza kuingia kwenye uchumi wa gas.
Kama tungepata kiongozi mwenye uelewa mzuri, Tanzania sahizi usingekuwa hapa ilipo leo.
Habari za uwanja wa ndege Chatto kamuuliza Kagame...Kamuulize Prof Assad au kamfate kiongozi wa malaika anajua alikozipeleka..
Hivi uwanja wa ndege wa Chato ulikuwamo kwenye bajeti yoyote ya hii nchi iliyopitishwa bungeni??
Duuuh! Hii kali, ungozi wa nchi unafananishwa na timu ya mpira kweli watanzania tumechoka. Haya mazoea ya kufanya na watu unao wafahamu ndo yalimwangusha Kikwete.Watu hupenda kufanya kazi na wanaowafahamu
Hili nadhan ni dunia nzima
Mfn mdogo tu kwenye soka huko kwa wenzetu huchukua wale ambao walicheza klabun kwa mafanikio na kuwafanya tena makocha wa tim
Huyu mtoto wa Bakhresa kawekwa kimukakati,Makamba atakapoanza kugombea urais awe na uhakiki was sehemu atachota pesa.Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
Sibishani na mbumbumbu,Jk huyu alishindwa kufufua miundombinu ya reli,aje ajenge Sgr?miaka 25 train haikuwai kufika kilimanjaro,imefikishwa na Magufuri,alafu unasema alikuwa na akili za kujenga Sgr, wakati kuendeleza aliyoachiwa yalimushinda,kila siku ilikuwa ni kuzurula Nchi za watu, baada ya kujenga Nchi yake, ndio mtindo alioanza nao mama yenuHapo hakuna kipya..
Mabwawa Nyerere pia alijenga, SGR ilianzia kwa JK na si yeye, ni kama tu vile Mkapa alivyoanzisha UDOM lakini ikajengwa na Kikwete. Flyover alianzisha Kikwete huyo Magufuli akiwa waziri, yeye kaja kukamilisha tu kama vile ambavyo Terminal Three na Daraja la Kigamboni alivyokuja kumalizia.
Nini kipya?? Nitajie vya kipekee sana ambavyo ni yeye binafsi tu ndio kaweza kufanya.
Kagame alikuwa anamwingilia kinyume mwendazakeHabari za uwanja wa ndege Chatto kamuuliza Kagame...
Unafikiri MOU ya Kenya, Uganda na Rwanda ilianzia wapi.. Watoto wadogo nyie hamna mnachojuaSibishani na mbumbumbu,Jk huyu alishindwa kufufua miundombinu ya reli,aje ajenge Sgr?miaka 25 train haikuwai kufika kilimanjaro,imefikishwa na Magufuri,alafu unasema alikuwa na akili za kujenga Sgr, wakati kuendeleza aliyoachiwa yalimushinda,kila siku ilikuwa ni kuzurula Nchi za watu, baada ya kujenga Nchi yake, ndio mtindo alioanza nao mama yenu
Ndio maana yake..anatengeneza timu ya kampeni kwenye ofisi ya umma...mbaya sana hiiHuyu mtoto wa Bakhresa kawekwa kimukakati,Makamba atakopaanza kugombea urais awe na uhakiki was sehemu atachota pesa.
Kama alivyofanya JK kwa akina Chenge,Karamagi,Rostam no.
Hi nchi si ya kuongozwa na wapigaji anatakiwa kichaaa mwingine mfano wa Jiwe.Ndio maana yake..anatengeneza timu ya kampeni kwenye ofisi ya umma...mbaya sana hii
Inaitwa "back to square one"!Tupambane jamani
Watu wanarudi wale wale kama vile watu hawapo