Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Naona makamba amewakumbuka vijana wenzie.Hao Mafuru na Mchechu ni CEOs waliong'ara sana na kuleta mapinduzi kwenye taasisi walizo wahi kuendesha. Sema siasa pia iliwaingilia mno kiasi wakashindwa kuhimili,na kuathiriwa na uadirifu
Hakika ....

Mchechu na Mafuru ni vijana wazalendo wenye weledi mno....

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI
 
Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Kwa shirika lenye changamoto Kama TANESCO...bora ya hao...kuliko usemao WAWEPO WOTE DAMU NYINGINE MPYA....ukiweka hisia pembeni utauona UHALISIA....ndani ya hiyo timu wako wapya wachache.....
 
Hivi hakuna watu wengine zaidi ya Hawa kina Mafuru,na Mchechu?
Sina ubaya nao,lakini Hawa wameishakuwa watumishi wa umma kwa muda mrefu,kwanini usiingize damu nyingine zenye uzoefu zaidi.
Mbona watu wapo kibao.
Bodi za Tanzania hazinaga ufanisi ndio maana, likumbuke hilo. Sio za kufanya applications as a result wanateuana watumishi wa wastaafu na wasiku nyingi serikalini na taasisi zake plus wafanyabishara maarufu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
Mkuu hao usemao WALICHAFUKA KIHISIA NA KISIASA....huo ndio ukweli.....
 
Miongoni mwa kazi za BODI ni kutoa uzoefu wao na kuibua fikra mpya.....

MATHALANI NI LINI BODI YA CHUO KIKUU/VYUO VIKUU IKAWA NA WATAALAM WASIO WAZOEFU?!!!
Bodi za Tanzania hazinaga ufanisi ndio maana, likumbuke hilo. Sio za kufanya applications as a result wanateuana watumishi wa wastaafu na wasiku nyingi serikalini na taasisi zake plus wafanyabishara maarufu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Naona makamba amewakumbuka vijana wenzie.Hao Mafuru na Mchechu ni CEOs waliong'ara sana na kuleta mapinduzi kwenye taasisi walizo wahi kuendesha. Sema siasa pia iliwaingilia mno kiasi wakashindwa kuhimili,na kuathiriwa na uadirifu
Kumbe siasa iliathiri uadilifu wao
 
Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
Usimeze porojo za jiwe Mchechu na Mafuru jiwe aliwatoa sababu alikuwa na maslahi na nafasi zao alitaka aweke watu wake

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mchechu alivyokua D.G NHC alipiga madili ya Viwanja sana. Alikua ananunua viwanja kwa bei rahisi kupitia aliases then anaviuza kwa NHC kwa mabilioni, ama kweli safu nzima ya Mzee wa Msoga Itarudi yote. Yetu macho. Mama endelea kuupiga Mwingi.
Kwanini hakushtakiwa nawe ni miongoni mwa watu mliomeza porojo za jiwe bila kufanya utafiti

Back
Top Bottom