Ndoa ngumu jamani

Ndoa ngumu jamani

yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe

hey! Kwahyo ww bado unamuona mwanamke yuko sahihi na mkosaji n mwanaume?!
 
raha ya Chuoni ni ya muda mfupi kwani atamaliza na kupata ajira
napo katika ajira atakuja kustaafu
Mapenzi ya Chuoni ni hatari sana kwani kule watu wanapiga fimbo za wima wanaita minazi
mwaka wa kwanza ukiingia unabebwana 2nd year au 3rd
lakini UKIMWI hawezi kuuona mpaka aukwae, maana huko ndio mke wa jamaa yangu mwenye watoto wa2 aliubebea
 
Samahani lakini; kwa experience yangu wake za watu ndio wanaoongoza kwa kugawa papuchi vyuoni...hiyo message itakuwa ilikuwa nzito...

Iweje akomae kugombana na mumewe kwa message ya mtu wasio na uhusiano...

Ndio shida ya kuoa mwanamke afu unajifanya wewe babake kumpeleka shule...yani hadi huruma...kuna wadada watatu tulisoma nao waume zao walikuwa mabosi wakubwa...wote hawa walikuwa kazi yao kuhonga viserengeti hadi aibu...

sijui walikimbilia ndoa sa wakifika vyuoni wanagundua wale waume si wa design zao (maana wengi huolewa na wanaume aged soon baada ya kumaliza form six au form four)

Kuna mmoja alimg'ang'ania kijana mpaka watu wakawa wanamuonya yule kijana kuwa anataka kufa maana mume wa huyu mdada ana kazi nyeti na atagundulika tu...
 
Naona kaingilia majukum ya wazazi unasomesha mke ili iweje kama anaweza ajisomeshe mwenyewe#kuwa makini sana unapotaka kumuonesha mwanamke mlango wa mafanikio ni wachache sana watabaki na heshima baada ya kuijua njia ila wengi wamelia.
 
Tuambie msg ilikuwa inasemaje, mbona unakwepa. ukitaka ushauri weka mambo wazi, yawezekana jamaa kakuta msg ambayo inamsifu mama kwa mautundu yake aliyomfanyia mwanachuo mwenzake!!!

msg za kawaida zA salam
NA mdada kajifungua wiki moja kabla ya mitihani
sem mme ana wivu sana yaani hyi pc yenyewe akirudi anakagua kila ktu simu ya mkewe ikipgwa anaulizza sms zikiingia zisifutwe mdada imefikia hatuA hajajiunga na wala hataki kujiunga kwenye social networks maana anajua watakosana na mmewe
 
mwambie aende vyema akatumike kwa shetani alafu anaonekana ana kibri sana anafikia hatua ya kumshusha mmewe eti kisa ni elimu ...mpe kisu kabisa aichane ndoa yake kwa mikono yake,angekuwa na akiri angeenda kwao na mmewe akaombe msamaha na alipe faini sasa kwa vile hajuhi maana ya ndoa mwacheni tu
 
yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe

Acha kushaur upumbavu,jiweke nafasi ya mtendwa(mwanaume)...hujui maumivu ya mapenzi haswa ndoa tulia,nyie ndo huwa mnapigwa risasi...hamfadhiliki,mnashindwa kujiheshimu...
 
yani watu kwa kujihesabia haki hatujambo!
huyo mume alikuwa anajua anaishi na malaika?
mwanadamu huyu aliyeumbwa kwa nyama ukae ukijiaminisha hawezi kukosea?
Mungu huyu katuumba na tunamkosea,leo wewe mke kumkuta na sms unataka mpk baraza la vyama vya ushirika lisikae?
mxeeeew
watu wa hv hupata shida sana na haya maisha!
mke kakutwa na sms,fine
then,one of ur gateaways kujiridhisha umetoa adhabu ni kutengana?
ehehehehehe

anajua hana option mana alipangwa ajira akaacha kumfata mmewe kigoma so akaenda private as you know private ukiondoka kwenda shule mkataba unaisha ila kaomba mkopo kasema akipata hata40% nyingine atajisimamia
 
Inategemea ni uzito gani anaipa ndoa yake..

Social network haiwezi kuwa muhimu kuliko ndoa...
Nakumbumbuka kuna siku mimi na mume wangu tuliwai ku discuss whether we real need to be on facebook...

Mi kila mtu anajua nimeolewa; sioni aibu kuwaambia office mate ukweli kuwa mume wangu ana wivu waache kunitania tania...na wala sipati message zozote toka jinsia nyingine kwa kuwa nime draw a line...na sioni aibu kuwa under someone else's control...to me that is love...uhuru lazima uwe na mipaka...

Sasa kwa experience na habari zilizozagaa kuhusu wake za watu vyuoni; mdada alitakiwa awe extra careful asijiwekee ukaribu na jinsia ya kiume...mwanaume yeyote mwenye kujua position yake lazima awe makini sana mkewe akiwa chuoni...maana anajua michezo inayoendelea...

Kuna mtoto wa aunt yangu alikuwa anasomeshwa na mumewe CBE yani hadi aibu...anarudi usiku wa manane eti group discussion...na mumewe bwe.ge...group discussion my foot...kabinti kazuri kweli kweli na nyepesi nyepesi ni kuwa ana behave just like any single lady...ana date kama kawa chuoni na mujini...

msg za kawaida zA salam
NA mdada kajifungua wiki moja kabla ya mitihani
sem mme ana wivu sana yaani hyi pc yenyewe akirudi anakagua kila ktu simu ya mkewe ikipgwa anaulizza sms zikiingia zisifutwe mdada imefikia hatuA hajajiunga na wala hataki kujiunga kwenye social networks maana anajua watakosana na mmewe
 
yaleyaleeeee....
Bora kuoa ka 4m4 kako au darasa la saba .......
Mtu kapelekwa chuo na anasomeshwa lakn kisa tu kadanganywa huko na kajiona anakaelim tayar miba imeota .....
Et haombie tena msamaha kwa Mungu mtu?...... Duh hii kali

Mbona unaongea kinyume chake.....ukioa darasa la saba siku akipata nafasi ya kuchangamana na watu tu umekwenda na maji.... Huyo dada alizoea kukaa boarding maana boarding ya diploma hasa ya ualimu haitofautiani sana na ya sekondari....alipoenda chuo akaona watu wanajiachia tu akaanza kujilaumu maskini mimi sijui nlikuwa nazkimbilia nini mimi kwa lile libaba. Lakini angekuwa ameshapita huko angekuwa nyani mzee aliyekwepa mishale mingi wala hakuna kitu kingeweza kumbadilisha.... Samahani nilikuwa najibu tu hii comment ya Mgirik simaanishi huyo dada ndo yuko hivyo
 
Last edited by a moderator:
Ishhhhh si akubali open uny...na mpaka mwanaume kapanik hvyo hyo mesej itakua Ilkua ya kiuni. Mwambie aache uhuni
 
msg za kawaida zA salam
NA mdada kajifungua wiki moja kabla ya mitihani
sem mme ana wivu sana yaani hyi pc yenyewe akirudi anakagua kila ktu simu ya mkewe ikipgwa anaulizza sms zikiingia zisifutwe mdada imefikia hatuA hajajiunga na wala hataki kujiunga kwenye social networks maana anajua watakosana na mmewe

Yaani mpaka hapo inaonyesha hawaaminiani!
Km unamwamini mtu wako huwezi kumpekua pekua!
Na pia km huyo mwanamke kweli anatabia hyo ht amwamishe chuo afanyaje ataendelea tu.

Hilo ni tatizo kubwa!
 
shetani alimkorofisha MUNGU pale alipoacha kutii mamlaka.
mwambie huyo rafiki yako kama anacho kitombeo aendelee na mpango wake wa kwenda chuo, lakini kama hana basi na amnyenyekee mumewe kwa ajili ya hicho asichokimiliki mwilini mwake.

aende kuahirisha masomo yake, atulie nyumbani kurepear trust iliyopata ufa wa sms, furaha ya mumewe ikimrudia anaweza kumrudisha tena chuo.

asing'ang'anie kuwa sahihi kwani hakuna ajuaye kesho itazaa nini.

N.B leo tumefundishwa kanisani ya kwamba tusiwe wasahaulifu wa matendo makuu ya MUNGU.
 
hapo kidogo nakupata, mambo ya kukaguana hadi kwenye simu inakera i hate that katabia.

Kati ya simu na papuchi kipi ni sensitive?. Kama anakagua papuchi kila siku na gegedo simu ni nini hata isiguswe?. Wewe naye mchepuko tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom