Ndio, wewe ni ombaomba

Ndio, wewe ni ombaomba

Juzi friday nilikuwa na chart na msichana mmoja kujuana hali tu ilikuwa majira ya mchana,mazungumzo yakaisha naamka jumamosi asubuhi nakuta msg anajilaumu jana yake usiku kapoteza elfu 20,nikamjibu pole sana,akarudia kunitumia msg tena,nikamjibu pole sana,baada ya hapo kapiga kimya kabisa,sasa sijui alitegemea ningemchangia,wanawake wasikuihizi wanatanguliza sana njaa,ujaona hata crack inapoanzia unabebeshwa majukumu kama wewe ndiyo umemleta mjini,bora nibaki na mwezangau!!!
Wana trick nyingi sana,Mara nyingi huwa wanaona aibu kuomba directly utasikia " Dah,yan hapa njaa inauma hatar,mama hayupo na hajaniachia hela ya chakula" [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Juzi friday nilikuwa na chart na msichana mmoja kujuana hali tu ilikuwa majira ya mchana,mazungumzo yakaisha naamka jumamosi asubuhi nakuta msg anajilaumu jana yake usiku kapoteza elfu 20,nikamjibu pole sana,akarudia kunitumia msg tena,nikamjibu pole sana,baada ya hapo kapiga kimya kabisa,sasa sijui alitegemea ningemchangia,wanawake wasikuihizi wanatanguliza sana njaa,ujaona hata crack inapoanzia unabebeshwa majukumu kama wewe ndiyo umemleta mjini,bora nibaki na mwezangau!!!
[emoji23] nimecheka sana. Huyo ningekuwa karibu ningemtandika na kofi kabisa. Yaaan anakuelezea kuwa umepoteza 20,000 ili ufanyaje?
 
Siombagi pesa kutoka kwa mwanaume, kama nimemzoea nitamueleza issues ninazopitia katika maisha. Anaweza kunipa ushauri hilo si haba wengine wanatoa pesa hili pia si dogo.
Unafaa kuwa mpz wangu kama maneno yako ya kweli
 
Bujibuji katika ubora wako, hahahahaaaa
sasa mkuu wewe hizo za mwanzo ulikuwa unatuma za nini?
anyways, kwa kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke nyuma yake!!!!

MWANAMKE HUSIKA ANAYEHUSISHWA NA HUO MSEMO NI MAMA MZAZI. NA SIO HAO AMBAO MMEKUWA MKIDHANIA KUWA NDIO WAHUSIKA
 
ha Ha Ha Ha hata Mie Siku Hizi Kumpa Hela Mwanamke Huwa Najickia Vibaya Sana Kutokana Na Kwamba Huwa Hawana Fadhila Hata Uwape Bahari Bado Atakuona Mwehu
dadeq """wew unatoa kama kumsaidia mwenzio anahesabu kuwa ana kuchuna...hatari sana Hawa Dada zetu
 
IlaTunajitahidi Kuomba!Yaani tunafanya kuombwa namba tu ,basi nawe utaomba mpaka ATM!Ndio maana wanaume Anakuona leo anaomba Mzigo leo!wanadai wanatoa droo
kweli kabisa mkuu...kuna baadhi ya wanawake wasiojitambua ..wana sbabishà wanaume waone kuw wanawke niviumbe visivyo faa kutikana na mwenendo wa Tabia zao mbaya"" wakati kuna wanawke wapo wazuri tu watabia "" wanajipnda na kujiheshimu
 
We ndio hujui kaka,ogopa sana videmu vya uswazi,wanaomba hao! Unakuta demu hafanyi kazi kazi ni kuomba buku 2 buku3. Ikifika jioni kajaa
hakuna hata Mwenye nafuu hapo ...siwakwenye hoja uliyoijibu au Hawa uliowataja ...wote nishidaaaa
 
249bc84a-7303-4952-8cc9-27b58220f61f-jpg.719816
HAHAHAA HAHAAA
 
Juzi friday nilikuwa na chart na msichana mmoja kujuana hali tu ilikuwa majira ya mchana,mazungumzo yakaisha naamka jumamosi asubuhi nakuta msg anajilaumu jana yake usiku kapoteza elfu 20,nikamjibu pole sana,akarudia kunitumia msg tena,nikamjibu pole sana,baada ya hapo kapiga kimya kabisa,sasa sijui alitegemea ningemchangia,wanawake wasikuihizi wanatanguliza sana njaa,ujaona hata crack inapoanzia unabebeshwa majukumu kama wewe ndiyo umemleta mjini,bora nibaki na mwezangau!!!
hahaaaa aiseee """
 
Mh sicolate . Unenijumbusha. Kuna dem nilikuwa nae kila nikimpigia simu anasema njaa. Akiwa nyumbani njaa, kazin njaa. Mpaka kuna siku nikamwambia mimi si baba ako, kila siku njaa njaa njaa, unaishi nyumban na wazazi wako wote, mnapika mchana na ucku hii njaa kila siku ni ya aina gani.
Tangu kipindi hiko ameacha hiyo tabia.
Wewe njaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mm kila nikimpigia simu anasema amefulia.
 
Back
Top Bottom