Sara
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 1,060
- 933
never hahaha hadi nilipoolewa ndio nikajua raha ya kupokea zawadiWe vipi hujawahi kuletewa ata big bom?
never hahaha hadi nilipoolewa ndio nikajua raha ya kupokea zawadiWe vipi hujawahi kuletewa ata big bom?
Kaka acha. Mwanamke hakupigii , ukimpigia anasema hana vocha,anasema ana njaa. Mm kuna kipindi niligive up kabisa.. napatagwa na hasira maana inakera, yaan mtu hajiongezi daily ni wimbo huo huoWewe njaa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mm kila nikimpigia simu anasema amefulia.
Nashukuru Mungu tushapigana chini, kila mtu anafanya mambo take....Kaka acha. Mwanamke hakupigii , ukimpigia anasema hana vocha,anasema ana njaa. Mm kuna kipindi niligive up kabisa.. napatagwa na hasira maana inakera, yaan mtu hajiongezi daily ni wimbo huo huo