Najiuliza kama hataki nimpigie si angeniblock?Au anitumie sms nisimsumbue?

Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,229
4,781
Wakuu niaje sijawahi Omba ushauri Jf bt imebidi coz nahisi naenda kudata.

Sitaki tuchoshane na stori,ndeeeeefu ila tu niambieni nimekosea nn mazee maana ni siku ya 5 sijiskii poa nahisi kama mwili mzima unauma na sijalala for fvckin days.

Ni hivi... Juzi baada ya gemu ya Mnyama na Dodoma jj,nikawa narudi zangu maskani mdogo mdogo huku nikiperuzi mikeka,kifupi I was deep into the phone kiasi ambacho nastuka nishagongana na mtu kugeuka kuomba radhi nakutana Uso kwa uso na hii pisi.

"Sorry bro uko sawa"??Hii sauti tamu ilinitoa kwenye butwaaa nikajikuta naropoka,"sorry sista mm ndio natakiwa nikuombe msamaha nlikuwa nimezama kwenye cm kuangalia matokeo ya ligi mbalimbali.

"No way mwenyewe nlikuwa naangalia matokeo ya chama langu mnyama yaani leo wamenifurahisha ,hasa yule fundi che marlon"

Yaani huwezi kuamini alivyosema hivyo nikajisemea vigezo vyangu vimetimia huyu NAOA akikubali hata Sasa.(Kifupi mm ni wale wa kataa ndoa typically)

Walahi nlikuwa siamini love at 1st sight bt meen hii ilikuwa tofauti

Imagine wakuu mtoto ni mweupe,hips mzigo,kiuno nyigu,Tako la kwenda ,SI mrefu si mfupi,na ni Mali safi,halafu anampenda mnyama nadhani mmeshanisoma .

Anyway nkajikusanya nikatoa sentensi ambayo ni ya ki*senge bt believe me it always works !!.... yaani sista leo usiponipa namba yako najinyonga"

Nkaona kaduwaa kama nusu dakika kisha akatabasam akasema "no need hata usingeniomba ningekugea tuchat mambo ya Simba ,wewe si mnyama right?alisema huku akiangalia uzi nliokuwa nimeutinga

Unyama mwingi,!nlimjibu wakati huo ananigea iphone yake niweke digits.

(Ngoja niweke klea hii kauli " usipo nipa namba ntajinyonga",unaweza Dhani ni mzaha bt nshakula sana nyapu za vyuo kwa kauli hiyo,unajua mkoa niliopo nyanda za juu kusini huku wanahistoria ya kujitundika kichizi,so siku hiyo Niko club moja town inaitwa shooters nkaona pisi kama haiendagi chooni nkaenda iomba namba ikaniambia mm sio type yake nijikatae,ila nlikuwa maji na hiyo pisi ilikuwa ina tako mzigo,nkasema usintanie"....nikamfuata nikamwambia kwa sauti ndogo tu ambayo aliiskia...dada usiponipa namba ntajinyonga,...

Kifupi nlidhani atanizabua kofi,ila akiwa kaduwaa akamgeukia shosti yake akamnon'goneza kitu,nikaona napewa cm niingize namba.

Hii pisi niliila ila badae ilikuja gundua mm sio muhehe ila akakiri kunipa namba Kwa kuogopa nisijiue maana shosti yake aliyemnon'goneza alimwambia wahehe wakisema wanamaanisha.So hii njia nimetumia sana kula pussy za vyuo zinazotokea mikoani huko zikijua,huku watu wanajinyongaga tu hovyo)


Sasa turudi Kwa manzi anayetaka niua kwa presha,alivyoandika namba,nikasevu nikamuaga nikawa nasepa,ila hatua mbili nkasema asiwe kanipa namba za gari nkamtumia msg thanks for ur#

Haikuchukua muda akajibu thanks for urs too boo,nkajua kazi ishaisha.

Basi nikahakikisha usiku ule na seal deal na kweli I did it,huwezi amini sikulala usiku ule maana baada ya kunikubali saa 5 usiku tuliendelea kuchat usiku kucha,na mpaka naagana nae alfajiri ikawa tushakubaliana aje ghto ipigwe gemu mchana.

Wengi watasema manzi ni maharage ya mbeya bt kwangu haikuwa regflag Wala nn maana kukubaliwa na manzi mapema kwangu ni kawaida.

Basi nlivyo maliza kuchati nae nkaweka cm chaji kuja kustuka ni saa 12 kamili jioni na simu imeita miss call kibao,za huyo manzi zikiwa kama 41 hivi,na meseji zalawama,eti ningemwambia kama nimeoa,asinisumbue.

Basi nikajielezea pale kuwa ni usingizi akawa amefura kichizi ila akaelewa.

So tu ka reschedule iwe kesho yake ambayo ndio juzi jumanne ,ila akasema atakuja mapema saa tano maana jioni atahudhuria birthday ya shost wake nkasema poa .

Kafika gheto tano kasoro,Now Mimi sipendi kumwambia manzi nasmoke Herb mpaka aone mwenyewe,beside nataka nione reaction maana mademu akili ndogo hudhani stoners ni wahuni tu.
Ile kuingia tu gheto kaona shada kama zote kwenye coffee table nashangaa mtoto anadata kelele nyingi...I KNEW It..umejuaje????

Ikabidi nizuie mshangao,nkamuuliza so Unapenda mmea wa uzima?

"Yaani napenda sana hii kitu it cented me"Dah unaweza kuguess how fuvkng thrilled I was,kilichofuata nikawa namuonyesha mtoto jinsi ya kula buluuu.

Baada ya kumoka kama tom 4 nzito mtoto jicho nyanya tukanywa chai fresh,flirting za hapa na pale kinu kikaliwa.

Siwezi sema nimemt*mba kiasi gani coz gentromani Neva kiss and tell,bt it was ma superb performance,unaweza kusema dakika 3 na nusu za maangamizi.

Tumemaliza show akaingia bafuni alipotoka nkafuatia sasa nlivyotoka tu bafuni ndio imenifanya kuja hapa kuomba ushauri...

Nlitoka mejifunga taulo kufika kizingiti Cha mlango wa bafu nikavua taulo nkalitupa chini kama kawaida yangu nkafuta miguu,wakati nafanya hilo zoezi shori macho yalikuwa kwenye mkuyenge then kwenye taulo chini Kisha nkaskia sentensi Moja tu,"I KNEW IT",nkawa nimezubaa namwangalia akawa anakusanya vilivyo vyake kama anataka kuondoka.

Ikabidi ni muwahi pale kitandani nkamuuliza what's wrong babe nimekuudhi?..mtu kimya,kabadilika anachotaka aondoke.

Hapo kichwani vinaingia na kutoka ili kuprocess what I did wrong,kusema kafuma viashiria vya kuwepo mwenzake sio Kweli maana mm siachagi trail behind,nkawaza labda kaona ukubwa wa mkuyenge umepungua siunajua huku ubaridini ukioga na maji baridi mwanaume unaweza ukajikataa maana Uboo unakuwa kama betri ya saa.

Kifupi nimebembeleza kama nusu saa,nimejaribu kumzuia Kwa kufunga mlango wapi,mpaka tumechaniana nguo,mtoto anataka kusepa na hasemi kitu zaidi ya let me gooooo.
Hadi namwacha aende alisema atapiga kelele anabakwa nkaona ohooooo ngoja nisisababishe Mengi,naweza jaza inzi ghto ukizingatia shada Kila Kona .

Imagine toka j4 mtoto hapokei cm Wala msg hajibu,yaani nimempigia hadi sio poa,hata mara mia 2 inafika,ila hapokei cm Wala hajibu meseji.

Najiuliza kama hataki nimpigie si angeniblock?Au anitumie sms nisimsumbue??

Anyway nlidhani nimemaliza Kwa Hawa viumbe kumbe bado niko chekechea.


Hebu niambieni nimekosea nn Wakuu.


(kiukweli napenda jokes bt this ain't joke nahitaji ushauri maana nataka awe shemeji yenu,Puli inachosha kishenzi.)

P.s namba yake sitoi.
 
God help you but until know you don't perceive it. 😂😂😂😂😂


Mimi niliwahi kuingiza geto manzi hivo hvo yani demu alikua maji mala moja, nilimuuliza kutumia kondom akakataa.

kwavile sikutaka kesi za mimba, nilipiga tako nne nikachomoa nikavaa kondomu, Manzi kuondoka ndio tukaachana na kuachana na hakuniambia sababu.

ila nilikuja kugundua alitaka kunibambikizia mimba.
 
Labda mmea ulimchanganya.

Nyie wazee wa mimoshi sometimes jau sana huwa mnaona visivyoonekana.
Manzi labda ni mgeni wa mmea, kaona kitu bilq kufikiri mara 2 kapigia mstari.
Sijui kaona nini ila lazima kuna kitu kaona na mmeq umeshindilia palepale.
 
God help you but until know you don't perceive it. 😂😂😂😂😂


Mimi niliwahi kuingiza geto manzi hivo hvo yani demu alikua maji mala moja, nilimuuliza kutumia kondom akakataa.

kwavile sikutaka kesi za mimba, nilipiga tako nne nikachomoa nikavaa kondomu, Manzi kuondoka ndio tukaachana na kuachana na hakuniambia sababu.

ila nilikuja kugundua alitaka kunibambikizia mimba.
Hapo Labda nimsaidie kuchagua jina la mtoto.
 
Labda mmea ulimchanganya.

Nyie wazee wa mimoshi sometimes jau sana huwa mnaona visivyoonekana.
Manzi labda ni mgeni wa mmea, kaona kitu bilq kufikiri mara 2 kapigia mstari.
Sijui kaona nini ila lazima kuna kitu kaona na mmeq umeshindilia palepataalamu mkuu na kama ni mazonge kwann asifanye wakati namzagamua?maana tulimoka hata kabla sijala kitumbua

Labda mmea ulimchanganya.

Nyie wazee wa mimoshi sometimes jau sana huwa mnaona visivyoonekana.
Manzi labda ni mgeni wa mmea, kaona kitu bilq kufikiri mara 2 kapigia mstari.
Sijui kaona nini ila lazima kuna kitu kaona na mmeq umeshindilia palepale.
Sidhani mkuu maana alikuwa anautolea puani,na kama ni mazonge ya Moshi mbona asiliamshe tulivyokuwa tunazagamua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom